Mimi ni kijana wa kiume. Nahitaji msichana wa kunifariji & kuniliwaza kimapenzi! Awe girlfriend wangu mwaminifu na anayejua mahitaji ya mwanaume kimapenzi. Kwa mawasiliano PM me, please!
Ni muda mfupi umepita tangu nirudi toka moshi kikazi kwenye hotel moja kubwa arusha mjini kwa lengo la kuifanyia marketing.
Nilikutana na dada mmoja ambae ni muhudumu wa Hotel hiyo.
Tangu tuzoene...
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
Awe na utu
Awe mcha mungu pref christian
Asiwe na nyodo
Awe na upeo wa kujua mambo
Awe as natural as possible
Awe SMART...
Habari zenu, natafuta mwanamke wa kuzaa naye watoto wawili wa kiume tu, sababu nitazitoa baadae. ila sitaki tuoane, sitaki tukae pamoja kama mume na mke, kila mmoja akae kivyake.
nahitaji girl atakayekuwa mke wangu kama tutaivana,,, umri kati ya miaka 20-24.....sichagui kabila dini awe mkristo ama akubali ku change kama c mkristo...awe mrefu kias c mnene wala...
Natafuta marafiki nitakaokuwa nao kila kukicha kunipa story ili nisahau yafuatayo kichwan mwangu, Umasikini ulikithiri kijijin kwetu, ukosefu wa umeme, barabara na huduma za afya. Kila mwka...
Ndugu, natafuta msichana atakeye kuwa tayari for only sex na mambo mengine, not marriage. Niko single. Akiwa wa mwanza/geita ni bora zaid, sababu itakuwa rahis kuonana. I'm serious plz. Contact...
Nina umri wa miaka 35 natafuta mchumba ambaye ni muathirika. Mimi mwenyewe ni muathirika nimegundulika mwaka huu mwezi Feb. Kazi yangu ni mfanyabiashara.
Jamani, nimepitia threads humu, sioni wa kaka wanaotaka gf au mke mwenye masters?kwani hao hawafai kuolewa?utakuta mschana anavigezo vyote ila anakuwa limiyed na elimu yani akiwa na masters bas...
hivi hamna wazungu wanaotoka na wadada weusi ambao ni wanene?mie natafuta mzungu jamani,sehemu ninayoishi ni ya wazungu tupu ila hawaninotice....nifanyeje???msiniambie ni loose weight niwe...
Awe mrefu wastani, elimu kuanzia form six, age asiwe zaidi ya 24years, rangi yoyote, asiwe mnene, awe mcha Mungu. Mwenye sifa hizi aniPM tafadhali au anicheck kwa email lushe2010@yahoo.com
Asanteni
Msichana mrembo anaejiamin na intellectual aged between 18 up 23 nakuhitaji tufanye maisha(serious relationship) na kuoana later im 24 npo college..just Pm me,.
Helo fellas glory 2almighty God!
So long i hv come through lonlyness and wanna now creep on in a relation.
However i want 2know what 2be adhered b4 i get traped on it!
Hp u'll gv sm hints obout it.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.