Habari zenu wakuu.
Naandika hii post kwa niaba ya best friend wangu. Kwa kweli yeye hafahamu kama nimemuweka humu, ila kwakuwa alinidokeza nia yake nikaona si vibaya kujaribu na JF.
Tafadhali...
Nahitaji kupanua wigo wa mambo ya ki-social kwa hiyo naomba mwana-jf yeyote yule wa kike aniPM ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuonana wikiendi hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu...
nina miaka 26 nina g.f ambaye yuko mbali kwa sasa sijaoa. umbo la wastani kg65, urefu cm164 napenda sana mpira situmii kilevii sipendi kwenda club elimu yangu ya juu... natafuta mrembo wa...
Mi kijana wa kiume,umri wangu ni miaka 28,nipo dar.
Nahitaji mwanamke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo
-awe mcha mungu,kristo
-umri kati ya miaka 20-25
-awe mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa au mkoa...
Nipo SERIOUS, umri wangu ni miaka 28, nina elimu ya form 4, ni mwajiriwa serikalini, nahitaji aliye na umri usiozidi miaka 28, na awe amehitimu 4m 4 na kuendelea, dini yoyote, pls asiwe mfupi...
Jamani ninamaanisha i want to intr ma cv kabla ya yote,kishule nimeishia form four, ila ni mwajiriwa srkln, ma age is 30 yrs,ninayemtaka asivuke 28,elimu form four na kuendelea, na awe na mawazo...
Mambo vipi jaman mi nikijana mwenye miaka 24, nimemaliza pale mliman mwaka huu, so bado nipo kitaa sijapata raman ya uhakika, nikiwa pale kuna dem nlikuwa nae ila soon 2lipomaliza huwezi amin...
Kila nikipita hapa 'love connect' nakuta posti za wanaume tu nyingi zikisema wako wapweke wanatafuta wenza/wapenzi/wake/wachumba/marafiki wa kike...hadimu sana kukuta mwanamke kaposti kutaka...
Jamani natafuta mwenza wa kupitisha week ends tuuu ! kutoka pamoja na kufurahia maisha yaliyobaki ! Awe mdada mrembo anayejiamini kuwa mrembo na asizidi 30yrs , please !
hello wana JF mimi ni baba wa mtoto mmoja wa kiume na nina miaka 26 na bs in computer science tatizo langu ni kwa bahati mbaya tulishindwana na mama wa mwanangu na kukimbilia Dubai kwa ndugu...
Najua wapo weng watajiuliza maswal meng sana ila ni kwel kwamba natafuta msichana ambaye baadaye atakuwa mke wangu,
vigezo
umri:asizidi miaka 23
awe tayar kupima ukimwi
asiwe mref wala mfupi...
hello jf...iam very serious with this!!mimi ni kijana mwanaume wa umri usiozid 30...maisha yangu kwa ujumla ni ya kawaida kwa sasa kwani ninajitegemea..najitokeza kwenye jukwaa hili kwa request...
Natafuta girlfriend serious, mcheshi, mwenye hekima, anamjua Mungu.. Umri kuanzia miaka 20-26..
Nickname isiwatishe ni funny name..
Naishi Mikocheni A, elimu yangu ya Chuo..
Aliye tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.