Warembo wa JF, natafuta mpenzi for a long lasting relationship. Mwenye sifa zifuatazo atapewa kipaumbele:
Education: Above form 6
Sura: Awe na sura ya kike
Rangi: Mweupe...
Nina miaka 27, ni mwembamba kiasi, maji ya kunde, ni mkristo (RC), nimehitimu chuo. Natafuta mdada ambaye atakuwa mke wangu baadaye, umri 20-25. Mrejesho hapa hapa.
Nimebaki dilema kwa huyu dada,amekuwa just a friend since nilipom-approach 2009. Aliniambia yuko single na hayuko tayari kwa mahusiano wakati huo. Kipind chote ninachoendelea kusubiri anasema yuko...
Mie ni kijawa mtanzania ila sipo Tanzania kwa sasa...Ningependa kukutana na marafiki wa kike wenye umri kuanzia 18-26....Mengi tutaongea huko,aliye serious...
Habari wanajamvi. At my suprise nimejikuta natamani kampani ya member mmoja hapa.Naogopa kumchana live maana yawezekana akafikiria kuwa nataka kuvunja relationship yake(kama anayo). Ni...
wanajf natafuta mpenzi atakaekua mahabuba na sabuni wa roho yangu.Mimi ni mkweli,mwaminifu na si mbaguzi.ajitokeze mwanamke au mwanaume,mfupi au mrefu,mweupe au mweusi.nawasilisha
Me ni kijana wa miaka 27, naishi mikocheni A, Nipo Bachelor mwaka wa pili ..<br />
Nahitaji rafiki wa kike awe muelewa umri kuanzia miaka 20 na kuendelea, awe mchangamfu, ..<br />
Aliyetayari...
Mimi natafuta mchumba wa kike, aliye na vigezo vifuatavyo ani-PM;- Umri kuanzia miaka 35 kuendelea na Awe hajabikiriwa.
Wasifu wangu:-
Jina:- Jsaudi
Kabila: Mgagagigikoko
Umri: Miaka 58
Picha...
Jamani ninatafuta mchumba mwenye mtoto mdogo wa kike...kwa moyo wa dhati kabisa nipo tayari kuwa baba wa mtoto huyo....note: awe anajitosheleza kiuchumi...ambae yuko tayari na ana kigezo hicho...
Nina miaka 27 na ninatafuta jimama waku do nae na awe mpenzi wangu....nina mwonekano mzuri na ni fundi wa mapenzi....nimeamua hivyo kwa sababu wamama watu wazima wakipenda wana penda kweli na...
Jamani kuna m2 ambae ni mtalaka na watoto 3 anatafuta mume. Vigezo:- mwanaume awe na miaka 35 hadi 40, mkristo, awe mjane au mtalaka, awe na uwezo wa ku2nza familia, msomi angalau digrii moja...
my name is Elton,a male aged 27 now working with a certan company here in town, i am looking for a very decent, respectiful, charming, a little bit tall with a good fig and who is a form...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.