Shukrani za dhati ziwe juu wn jf.wengi wenu mmepata mshtuko wa jina la hayati.hili ni jina lenye asili ya kiarabu lenye maana ya uhai yaani al-hayy kwa maana ya uhai.lkni wakati mwengine hutumika...
Hi wanajf.Hayati wa dar natafuta marafiki wa kuchat ilikubadilishana mawazo.pia natafuta mchumba ambaye atakuwa na tabia njema.mobile 0712143355.ahsante
hi guyz im troubled with loving a chic we r in the same class.we are both in 3rd year in university pursuing same course.she had a bf bt they later broke up then we hooked up bt the ex has...
Naposema ni kama mimi namaanisha alokutwa na yalo nikuta mimi...mpenzi wangu aliniacha mwaka 1 uliopita na akaolewa. Niliumia sana nikakata tamaa ya kupenda tena...ila naona kwa sasa maumivu...
Wapendwa wana JF,
Poleni kwa majukumu ya kila siku.
Mimi ni kijana wa miaka 32, natafuta mchumba ili tuweze kufunga ndoa endapo tutakubaliana mimi na yeye. Nipo very serious na hili jambo.
SIFA...
Natafuta mchumba (a lady ) VIGEZO.a christian (mshka din kwel kwel),umri 20-24 ,elimu kidato cha tano hadi chuoni,urefu 160cm and above,mpole as i am,pombe hanywi sigara havuti,club hajawahi...
Kama ni kwenye Facebook, Myspace, Bebo au Hi5, unapotafuta mchumba au mpenzi kwenye internet basi kitu cha kwanza kabisa omba picha ili usije ukakumbana na kitu usichokitegemea.
Katika miaka hii...
hi JF members!
Nilipanga mwaka huu kuja bongo...bahat mbaya hali ya hewa imeharibu mambo mengi...sasa natafuta wakumuoa awe mwenye huruma na mwingi wa subira.
Ataekubali muda mwingine ntakua nae...
Mimi ni kijana mwana JF mwenzenu najitokeza kwa mara ya kwanza kutokea DSM kutafuta mwanadada/msichana mrembo wa kunifaa. Sifa zangu ni; Umri miaka 34, Kabila Mtanzania, Mtoto wa mkulima...
HABARI ZENU WANA JF.POLENI NA MAJUKUMU YA HAPA NA PALE,KWA HESHIMA NA TAADHIMA KWA WALE MASINGLE MEN AND MASINGLE LADIES WHO ARE AVAILABLE AND THEY ARE SEARCHING THE REALY PARTNERS JUST CLICK THIS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.