hi naitwa intelli, waweza niita raisi wa ma jobless pro max.
"Looking for a genuine connection to a certain genuine Lady to build a meaningful relationship with"
Kiumri nina miaka 25, Mimi ni...
Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo.
umri kuanzia miaka 33 hadi 40
awe Mkristo
Elimu kuanzia bachelor degree na...
Nawasalimu rafiki, nawapenda walevi jaman wanaojua kula vitu vitamu kwa usafi wake. Ni hilo tu, tufanyeni kazi tukutane jioni japo tupige story mbili tatu maeneo ya Shoppers tunywe kahawa nitalipa...
Hello dears, baada ya kutengana na mwenzangu upweke umenishinda kwakweli nimeona nitafute mtu wa kuwa nae karibu na kushare Mambo ya ndani.
Mimi;
Ni mwanamke wa miaka 38
Brown skin tone
Mkristo...
Nimefuatilia post za wadada walio wengi wanaofanya biashara, wakiandika huku love connect wanasema wao ni wamachinga.
Mnaweza kuwa mnajinyima fursa kwani kuna wanaume wanataka mwanamke strong...
I'm man (38) residing in Iringa and employed here, have one son from previously relationship, seriously need wife.
Other things will be discussed over cup of coffee tukikutana.
Mbarikiwe.
NAMTAKA SINGO MAZA
1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi
Niliowapa amana, hata hawakuienzi
Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi
Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa
2 Aloumizwa ja mimi...
Habari, natafuta mwanamke wa umri 35-45 , kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi na si ndoa. Niko Dar es salaam. Karibu tupate muda wa kufurahia maisha pamoja. Usiwe tegemezi!
Sifa nnazohitaji:
Umri 40+
awe mfanyabiashara kama ni muajiriwa iwe kazi ya kueleweka
kama ni MBA poa tu (simaanishi masters).
mrefu ili niwe comfortable hata kutembea nae njiani,
akiwa mfupi...
Umri kuanzia miaka 22. Elimu form four na kuendelea. MUHIMU awe ana uzoefu wa kulima kwa jembe la plau linalovutwa na ng'ombe. Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi.
Habari zenu,
Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume.
Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji...
Dear fellow Rwandese woman,
I am looking for a woman with a good heart to bond together by establishing a very good family together.
I am Tanzanian, government employee, 38 years old, Christian -...
Gentleman, humble, honest, God fearing man, who has determination of great success in life hereby looking for a serious single woman who is looking for a man to engage in and establish serious...
Wanaume ambao hamjaoa,wake zenu watarajiwa wapo makanisani,tembeleeni huko,kwenye kwaya za makanisa,wapo wanawake wengi sana.Nendeni kwenye makanisa,kusali,kuimba na kwa shughuli nyingine za...
Kama we ni mwanaume mweupe, una miaka 32-35 una kazi ya kuajiliwa, mkristu,huna UKIMWI,wala UTI sugu, huna familia upo mkoa wa Ruvuma nicheki inbox tuyajenge.
Karibu nimechoka kuwa single, na uwe...
Greetings to everyone, my dear brothers and sisters. I hope you all are in good health and progressing well with your nation-building endeavours. I am a 32-year-old man currently living in Dar es...