Mim ni kijana wa Umri wa miaka 37 namtafuta single mother au mwanamke yeyote wa kuwa nae kwenye mahusiano ambayo ni serious
Sifa: awe serious na mahusiano
Umri Kama nilivobainisha hapo juu
Sababu...
Natafuta rafiki wa kike awe mcheshi, asiwe na mambo mengi. Elimu yoyote ile. Mweupe kidogo. Umri kuanzi 20 hadi 30. Asiwe ameolewa. Awe tayali kubadilishana mawazo ya kimaendeleo. Mnakaribishwa
Mimi ni msichana ninaishi Dodoma . Kabila langu ni mrangi . Umri wangu ni miaka 20 . Natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa kwani umri wangu unaruhusu kuolewaa elimu yangu kidato cha nne . Ni mrefu...
Nahitaji mwanamke mwenye hofu ya Mungu,asiyetaka tena maisha ya kuchezewa ovyo, anaehitaji ndoa ili apate heshima anayostahili kama mke wa mtu.
Umri miaka 19-28
Elimu kidato cha 4 na kuendelea...
Sifa zake:
1. Mrefu awe zaidi ya futi 5
2. Muajiliwa wa serikalini
3. Dini yoyote awe mcha Mungu
4. Umri 27 adi 35
5. Asiwe na mtoto
6. Kabila na rangi yoyote/aliye jichubua rangi hapana
7. Awe...
Naimani wote ni wazima namshukuru Mungu pia nami ni mzima,nimekuja mbele yenu tena maana mtafutaji hachoki na hakichoka ujuwe kapata.
Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa Mke wangu:
SIFA...
Guys habari zenu,natamani single parents tukutane hapa tuzungumze na tujengane na wengine waunge undugu waunganishe familia,single+single waweza get1 pair[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]...
Wakuu habari za kushinda, poleni na majukumu.
Leo nataka niwakumbushe wanao tafuta Mke au Mume humu ndani.
Wakisha pata basi kwenye nyuzi zao waseme kama washapata.
Siyo mtu amepata anae mtafta...
Natafuta mwanamke aliye na utayari wa ndoa,uwe Dar, uwe na akili timamu, age 21-30, uwe na ajira..sitaki tegemezi & uwe vzur kiuchumi..sichagui dini au kabila Mimi nna 31. .mchapa kaz na mpenda...
Habari, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Wengi wenu natumai mu wazima wa afya.
Naomba niende kwenye maada. Nipo hapa kutafuta mwanamke ambae nitazaa nae mtoto/watoto bila ya kuwa kwenye...
Nina miaka 29, mfanyakazi kwenye NGO inayohusika na mambo ya UKIMWI, Nahitaji mchumba awe na umri kati ya miaka 18-25, awe hajawahi kuolewa asiwe na mtoto au watoto, asiwe mfupi sana maana ni...
sifa zangu ni:
Umri 32 yrs
Dini Mkristo
Elimu Degree
Kazi nimejiajiri
Mkoa Dar
Sifa za mtu ninae mhitaji
Umri 22-30
Elimu kuanzia form four na kuendelea
Awe Dar au karb na Dsm
Hi!!!!!!!
Napatikana Dar es Salaam
Nahitaj binti mwenye sifa zifuatazo
Awe mweusi
Awe na miaka 24-27 mi umri wangu 25
Awe na hofu ya Mungu
Awe na kazi asiwe na kazi yote sawa (kama hana kazi...
Inaweza ikawa ngumu kwako kunielewa, na wala isiwe rahisi kuamini kwa ninachosema; ila wakati fikra zako zinapingana na post yangu, ndio wakati huo huo fikra zangu zinapingana na moyo wangu {i...
Wana jf mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 23 na ninasoma chuo urefu wastani na ni maji ya kunde
Natafuta mpenzi wakua nae mpaka uchumba na hatimae wa mke kabisa
Sifa zake sasa
1. kabila...