Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wakuu natumaini mko poa mimi ni kijana nina umri miaka 25 natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye mungu akijalia ndoa Mimi nimejiajiri, mrefu wastani, mweusi na ninajitegemea naishi...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivi hii tabia ya kila mtu naetafuta mke au mume kutaja na vigezo vingi ilianza wapi? Kuna wengine wanasema wanataka mume au mke mcha Mungu ukiangalia mwenyewe hata Bible au Qur'an hasomi wala...
0 Reactions
3 Replies
864 Views
Mimi ni Mwanaume miaka ni 32 natafuta Mke wa kuoa kabisaa mana nimechoka kuwa alone. Nahitaji Mke umri ni 24-30 Kama upo serious nicheki pm! Napatikana Njombe na nimwajiliwa wa serikali.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Assalam alykum warahmatullahi wabarakatuh. Mimi ni mwanaume Umri ni 29 Muislamu Nimesha ajiriwa Nahitaji mwanamke ambae awe mke wangu wa ndoa akiwa Muislamu itapendeza zaidi. Awe na umri usiozid...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni kijana mwenye miaka 26.Elimu nilifika fika chuo lakini sikufanyikiwa kumaliza.Lakini haikunizuia kuweza kutimiza malengo yangu kwani nilipambana na kujiajiri mwenyewe. Sasa wazazi baada ya...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Kwa mrembo aliye tayari natafuta dada wa kuzaa naye, awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 35. Mimi binafsi nina 38 na nina kazi nzuri ya kuweza kumhudumia mtoto. Nimeoa. Kwanini nataka mtoto nje ya...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
mim n msichan wa umr wa miak 22. Nafanyakaz ktk kampuni ya chakula. Mume ninaemtak awe kam mm und kuanz 24 -28 ambae yuk tayar aniPm
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Asanteni kwa wote mlioniandikia jumbe pm Nimetoa namba kwa mtu mmoja tu ambaye aliugusa moyo wangu. Bado tunafahamiana kama marafiki na ikimpendeza Mungu tutakuwa wachumba, nashukuru kwa ushauri...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Nina miaka 27, muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35, awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya...
21 Reactions
152 Replies
23K Views
Good morning my people. Awali ya yote nimekuja na Id mpya kuficha usalama wangu, ila me ni mwenyeji humu JF muda tu Wanasema mficha ugonjwa kifo humuumbua Nahitaji mwanaume wa kupeana kampani tu...
14 Reactions
177 Replies
13K Views
Mm nikijana mwenye umri wa miaka 30 nipo Zanzibar kama yupo alotayar kuolewa mm nipo tayar kuoa vigenzo vyenginevyo Muislam Mrefu Mwembamba Half cast Nywele ziwe black na ndef Muajiriwa au mfanya...
2 Reactions
2 Replies
673 Views
Umri 23-30, uwe Mkristo wa dhehebu lolote, uwe wa kabila lolote ili mradi unaishi Mwanza, elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea, usiwe mnene sana wala mwembamba sana, uwe mweupe au maji ya kunde...
0 Reactions
2 Replies
929 Views
Habari! Nahitaji mwanamke wa maisha umri wangu ni miaka 32 nimejiajiri dini yangu ni mkristo Nahitaji mwanamke mwenye umri wa miaka 23-26yrs , mwenye kujua nini maana ya familia . Sichagui dini...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Natafuta mke Binti au aliyezaa mtoto asizidi mmoja Umri 27 hadi 35 Dini yoyote Awe mtanzania Awe mfanyakazi au mjasiliamali kwa ambae yupo serious karibu PM kwa contact. Kwa upande wangu mimi...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania,nina umri wa miaka 26, ninaishi Mbeya kwa sasa na ni mkristo kwa dini, elimu yangu ni ya chuo(degree), sina kazi bado naangaika na maisha najishughulisha na shughuli...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini, kabila Langu ni Mmasai na nina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume. Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote. Mimi ni muelewa na...
14 Reactions
83 Replies
13K Views
Habari wakuu Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Elimu yangu ni chuo kikuu Natafuta mpenzi ambaye atakuja kuwa mume mwenye umri wa miaka 50-60 Nimechoka kuumizwa na vijana wadogo Kikubwa awe...
12 Reactions
122 Replies
21K Views
Hello wapendwa. ..Kwa heshima na taadhima na fur aha napenda kutangaza nimepata mwanaume au tuseme rafiki na nimempenda na kwasasa tupo kwenye urafiki. He is educated and matured. Yani my type and...
2 Reactions
76 Replies
8K Views
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya. Kiukweli...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama tangazo linavojieleza, mimi nikijana mwenye umri wa miaka 28 nipo Mkoa wa Mbeya, Wilayani Chunya elimu yangu ni Degree ya Ualimu Physics and Mathematics, sijaajiriwa najishughulisha na kazi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…