Habari wana jamvi wenzangu, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Wengi wenu natumai mu wazima wa afya.
Naomba niende kwenye maada;
Nipo hapa kutafuta mwanamke ambae nitazaa nae mtoto/watoto...
Habari wana Jf,
Ni kweli yawezekana kukushangaza ila kila mtu aonavyo. Na kutoa msaada na ushirikiano kwa mtu si lazima pesa tu hapana bali kile unachoona kile chaweza msaidia katika maisha...
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.
Kiukweli...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33' kutokana na changamoto za mahusiano na mabinti below 30 kuwa kubwa nimeona sasa ni wakati wa kutafuta same age or above mwenye mapenzi ya dhati.
Mabinti...
Tafadhali naomba TUPEANE uzoefu kwa wale waliokuwa kwenye mahusiano , lakini mahusiano yao hayakwenda kama walivyotarajia.
Je, mlio vunja uhuano mlikuja KUJUTA baadae? Nini kilikufanya umrudie...
Natafuta mchumba jinsia ya kiume, sina sifa nyingi ni moja tu aweanajua majukumu yake kama baba wa familia.
Elimu hata ka dergee kamoja kananitosha akiwa juu ya hapo yote heri.
Awe mcha mungu...
Dear Woman/ Girl / Lady
I am looking for a woman or girl / lady who is serious and want to establish a strong bond and stable relationship that may end up with marriage between us.
Preferably...
Habari wana jamii najitokeza humu kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia.
Wasifu .miaka 33
Dini - mkristo kkkt
Elimu - kidato cha sita
Kazi - jobless
Makazi - dar es...
Kila kukicha nimekuwa nikisoma matangazo ya kutafuta wapenzi, wachumba, mke na mume,tena yanaongozana ladies na gentleman najiulizaga si mtafutane mambo yawe rahisi tu.
Lakini sijawai kusoma...
WanaJF poleni na COVID-19. tuendelee kuchukua taadhari , wafanyakazi nawatakieni may mosi njema, wasio na kazi muendelee kutafuta kazi wala msikate tamaa mungu atajibu maombi yenu.back to the...
Habari za humu wanajamii.
Najua huku wapo watu wa aina mbalimbali walioolewa na wale ambao bado na kwa namna moja au nyingine wanahitaji wapate wenza wao kupitia huku au hata kwingineko.
Binafsi...
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.
Kiukweli...
Mimi nina miaka 33 natafuta mchumba/mke mwenye sifazifuatazo.
1. Aliye na hofu ya Mungu.
2. Dini awe Mkristo (born again christian)
3. Awe mtumishi wa umma/mfanyabiashara.
4. Asiye na mtoto.
5...
Naitwa Luca N Lushanga Nipo Geita Natafuta Mpenzi Na baadae Mke Umri Wangu Miaka 26.
Nahitaji Mwanamke Anaejitambua asiwe Mlevi Wa pombe Pia awe Anajua nini Maana ya Mme.
Kwa Mdada Aliyetiari...
Assalam alykum
Natafuta mwanamke wa kumuoa awe muislam ana maadili mazuri ya kiislam.
Umri wake kuanzia 23 hadi 30.
Mi ni mwislam umri wangu 30
Nimeajiriwa
Naishi Dar es salam
Aliekuwa tayari...