Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Sina mengi ya kusema. Sitaki kuwa selective maana upweke unaniua. Kama we ni mwanamke, umri 20 - 27, dini yoyote, rangi yoyote basi njoo tuyajenge. Mimi ni Muajiriwa. Umri wangu ni miaka 28...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
hallo guys, this is more than siriasy, poleni na majukumu. Najitokeza katika jukwaa hili nikileta ombi langu hususa nikwa mdada mmoja tu ambae tangu utoto wangu nnandoto ya kumoA mwenye sifa tajwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana JF, natafuta Rafiki wa kike, ambaye tunaweza kujenga family hapo baadae. Sifa; Awe mcha Mungu, akiwa Mkristo itapendeza. Awe na uelewa wa maisha na kujua nn anapaswa kufanya Elimu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
kazi:swissport Dini:mkiristo Umri:29 Kabila:Mchaga Mengine dm NINAE MTAKA Umri:usiozidi MIAKA 28 Asiwe mvivu Kabila[emoji38]ote Mengine dm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
968 Views
Mimi ni kijana wa kitanzania ninayefikilia kujiajili. Umri ni miaka28.. Mrefu wastani.. Dhumuni la kuleta tangazo hili hapa, ni kuwa. Nimekaa nikafiliki. Palipo na mafanikio ya Mwanaume yeyote...
3 Reactions
87 Replies
7K Views
Habari mm ni kijana mwenye miaka 27 naish Dar natafuta mwanamke mjasiriamali nataka nianzishe nae mahusiano then anizalie mtoto na nimesema awe mjasiriamal sababu itambid ajiajir mwenyewe Ila...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wanajamvi hususani wanawake mlio singo na mnahitaji mwenza/mme wa maisha. Nami nimehamasika kuja uwanja huu kwani nimepata shuhuda kadhaa za waliofanikiwa kupata wenza humu jamvini...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Hello ladies nahitaji mwanamke mwenye umri unaonzaia 35 na kushuka hadi 20 Alieserious anicheki inbox Umri wangu miaka 37 Elimu yangu Master degree Awe anajitegemea kiuchumi sio mpiga vizinga...
0 Reactions
1 Replies
751 Views
My real name is George. Naishi Magoneni Mikumi. Nimeajiliwa katika organisation moja hapa Mwenge. Kwa sasa kwa kuwa niko home due to Covid-19 lockdown i need female friends to chat with...
3 Reactions
10 Replies
6K Views
Mie ni kijana mwenye miaka 29, elimu yangu ni ngazi ya chuo kikuu nafanya kazi katika shirika natafuta mke mwenye sifa zifuatazo. 1. Awe mrefu mweusi mwembamba kiasi 2. Awe mkristu wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
My name is khadija ,nina miaka 20 plus. Ni muda mrefu kidogo nmejiunga JF ila nlikuwa napenda zaidi kusoma kuliko kupost au comment chochote. Kuna watu ambao nmejifunza mengi kwao nikawapenda...
34 Reactions
333 Replies
29K Views
Tunaishi kwenye nyakati za sayansi na technologia inayo rahisisha maisha kwenye nyanja zote zikiwepo kiuchumi na kijamii. Nina imani kupitia technologia ya mawasiliano naweza kupata mke mzuri, mke...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nawasalim, heading yangu inajieleza wapendwa. Kwa kifupi, Umri wangu ni 32 Mkristo Mfanyakazi Elimu ni degree. Haja ya moyo wangu,Natafuta mdada awe ubavu wangu ili tutengeze familia bora. Sifa...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wana Jf, Mimi ni kijana mwenye umri wa takribani miaka 30 nahitaji mwanamke ambaye anayehitaji kuwa mke kwa dhati awe serious kwa kweli. Awe muislamu asizidi miaka 35,huduma zote kama mke...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kutoa Salam zang za dhat kwenu wanamemberz wa JF,,na Allah (mwenyezi MUNGU)atuepushe na janga hili la Corona.... Nkirud kwenye mada...naam Mm ni kijana umri miaka 20,,npo DSM nasoma...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Wana JF, nimetoa uzi huu maksudi ila walengwa na wahusika ndio wa comment au DM, Nahitaji mke mrefu au saizi ya kati ila achague anayeona anafaa kuwa mke mwenza na wanaweza wakaishi wote kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 27, Natafuta mchumba wa kike, awe mcha Mungu, Awe mwajibikaji, msafi na mwenye mapenzi ya kweli, awe tayari kuwa mke na kuwajibika kama mama ndani na nje ya familia. Umri...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mambo vipi wapendwa wa love connect? Leo nimekuja na hoja moja inayotatiza kichwa change Huwa tunaambiwa kuwa wanaume ni wachache kuliko wanawake , tena wengine wanaenda mbali kusema kuwa ni kama...
0 Reactions
6 Replies
967 Views
Just casual, no sex, no strings attached. Just looking for an outgoing lady interested in travel, hiking, swimming and food. Like tommorow I'll hook up wit some friends we are going to saa nane...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Habarini wanajamii. Ninakuja kwenu kuleta hitaji langu la kupata mwenza aliye tayari kutulia na mume. SIFA. Dini:Yoyote. UMRI:kuanzia 30 yrs hadi 38. RANGI:Yoyote black napenda zaidi. AJIRA:Akiwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…