Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
  • Closed
Ni msichana wa miaka 25 mwenye maadili mema anatafuta mume kuanzia umri miaka 30-45. Mwenye hofu na mungu na mwenye maadili mema awe anaishi dar au Zanzibar alietayari pm.
5 Reactions
103 Replies
12K Views
Nimejaribu kila mbinu kuachana na mpzwng nimeshindwa kwan sipo tyr kuwanae tena kutokana na kunistress kila kukicha , ila nimejaribu kila mbinu kuachana nae but mwisho wa ck najikuta narudiana nae...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wapendwa,poleni na majukumu,nahitaji mchumba mwenye vigezo vifuatavyo,elimu lasaba mwisho diploma,umri 22-27,awe tayar kupima hiv,asiwe mfupi sana,mnene saiz,mweusi mweupe yote sawa,awe wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji future wife, awe mrefu, asiye mnene, rangi sichagui, asiwe na mtoto, awe anafanya kazi awe anapatikana mikoa ya kaskazini. Awe na umbo zuri pia umri usizidi miaka 28 .Aliyeko tayari ani Pm
1 Reactions
7 Replies
944 Views
huwa natamani sana maisha falani ya kuishi na familia lakini sijapata mwanamke alietuli na anaejua samani ya mwanaume kila ninaempata huwa hajatulia kutwa humufumania na wanaume hunitoloka kwenda...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume Kama una sifa sahii za kuitwa...
11 Reactions
362 Replies
22K Views
  • Closed
Kwa wale waliopo Dodoma nahitaji marafiki kwa ajili ya kubadilishana mawazo kutembeleana siku za weekend Mm ni msichana umri miaka 25 Ni pm kwa mawasiliano zaidi. Sent using Jamii Forums...
5 Reactions
30 Replies
6K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47,najitokeza hapa kutafuta mke ambae atakuwa ametosheka na NGONO na ambae haitaji tena WATOTO,yule Mwanamke ambae ameguswa na mwenye nia ya dhati,naomba PM...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
  • Closed
Habarini za muda wapendwa? Kama Mungu alivyosema "si vyema mtu huyu akawa peke yake bali nitamfanyia msaidizi" Natafuta mume mwenye hitaji la msaidizi (mke). wasifu wangu: umri: miaka 25 dini...
0 Reactions
70 Replies
5K Views
Habari za wakati huu... Tunapoelekea kumalizia mwaka na kuanza mwaka mwingine pia naendelea kuwa kurudia kutangaza tenaaa kuwa natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18 mpaka 25.. Elimu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wana JF, natumaini mko salama, Kwa heshima zote, naandika from my heart. JF ni platform inayowakutanisha Watanzania wote, ni matumaini yangu kumpata ninayemtafuta kama jinsi nyinyi ambavyo...
8 Reactions
138 Replies
9K Views
Habarin dada zangu wa mkoani na dsm natafuta mwanamke aliye tayari kuingia mkataba wa kunizalia watoto wawili tuu kwa malipo ya tsh 10 M matunzo na huduma nyingine nitatoa mimi mwenyewe wakati...
1 Reactions
129 Replies
10K Views
  • Closed
Jamani Mimi ni msichana Nina miaka 21 natafuta mpenzi ambae anakazi miaka 24_26 awe mrefu kawaida ,mweusi si mweus sana awe anaakili ya kimaisha ili tujenge mahusiano Mimi niko chuo mwaka wa pili...
5 Reactions
66 Replies
14K Views
Jamani nyie wenyewe mnajua maisha ya usingo yanavyochosha na umri nao unavosogea so mie nimeona sasa nitafute mke. Kwanza kabisa mie umri ni VERY LATE TWENTY Elimu yangu ni diploma ya sheria...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu : Kwa mara ya kwanza naandika Makala hii kumtafuta mdada anaejitambua ili tuweze kukaa chini na kujenga mahusiano mazur kwa misingi ya ndoa halal’ ninamiaka 31yrs ; naamini panapo...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
??
Je wajua?, ' hofu ya Mungu inasaidia' katika kuwa na mahusiano sahihi.......
1 Reactions
4 Replies
688 Views
Dini yoyote , nchi yoyote ile, asiwe mfupi,urefu wa wastani au mrefu zaidi, mzuri wa shape na sura,rangi yoyote, mwenye mawazo chanya,elimu walau darasa la saba, umri asizidi miaka 28 Juu yangu...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Jaman umr ukifka umefika natafta bint awe na umr kuanzia miaka 19-23 awe mcha mungu na awe na sifa zote za mwanamke anafaa kutuza family yake anicheck kwa no 0628239703 napatikana SIMIYU itapendeza
1 Reactions
8 Replies
2K Views
CHEKI MASTAA WA BONGO WANAVYOCHAT KWA GROUP LAO..[emoji23][emoji23] . . lulu: hello guys morn amber lulu: typing... Diamond:mambo vip lulu Zari:typing...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume miaka 33 Mkazi wa mwanza muajiriwa Nahitaji binti wa kuoa muislam Umri 18 na kuendelea Alie tayar aje pm
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…