Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Jamani kwa nini wanawake wa madereva wa malori hawatulii kuna jamaa yangu huwa anasafiri Zambia sasa siku moja alimuaga mke wake kuwa anasafiri lakini hapo nyumbani kuna mwanaume anakuja nyumbani...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
habari wadau nahitaji mwanamke wa kubadilishana nae mawazo. Awe anajitambua awe na shughuli ya kufanya ikiwa anajitegemea kimaisha itakuwa vizuri zaidi. Maelezo kuhusu mm ni vyema kama takuja pm...
1 Reactions
4 Replies
947 Views
Natafuta mpenzi [MWANAMKE]awe na umri wowote ule kwani mapenzi ayaangalii umri wa mtu nachoitaji ni upendo wa dhati mimi umri wangu 22yrs kwa aliyetayari my contact 0621850715 ipo hewani mda wote
1 Reactions
63 Replies
3K Views
Helloo..!!naitwa Bilal ni mkazi wa Arusha,Umri wangu ni miaka 25. Natafuta mchumba kuanzia miaka 21 - 24. Sifa awe mwaminif na mwenye mapenzi ya kweli. Pia awe tayari kupima VVU. kwa aliyetayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Nimeona kejeli na matusi vimetawala, ahsanteni na nisamehe we, labda hii hairuhusiwi Jf. JamiiForums naomba hii post ifutwe.
7 Reactions
155 Replies
15K Views
Ni muda mrefu sasa nmekuwa mpweke sabu ya kuwa single so nahitaji mdada wa kunitoa upweke akiwa mwanachuo ni fresh tu
2 Reactions
10 Replies
1K Views
habari wana jf mm nu kijana wa kiume kutoka pande za arusha ...Ninahitaji rafiki wa kike kuanzia miaka 19-27 ...you are welcome
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Kwanza kabisa shukarani ziwafikie wote wana JF, Nahitaji mchumba ambaye atakuwa mke miaka 2-3 ijayo. Sifa zangu >Umri 22 miaka >Rangi Mweusi >Kabila mkurya >Elimu utaijua PM >Usafi ulinishinda kwa...
0 Reactions
4 Replies
919 Views
Natumaini hamjambo. Mm ni mkaka sasa nahitaji mwenza/ mke anae jitambua na mwenyenia ya kuolewa, umri wangu kwa sasa ni 33 hivyo mke mtarajiwa awe na umri 24 to 28 yrs. Binafsi ni mkristo hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa ebu tuambizane kdg, hamna mapenz mazito na yanayoitaj moyo kama haya(mwenzako yuko arush ww uko lindi)....n nani anawajibu wa kumtafuta mwenzie, kumjulia hali mwenzie....hivi ndio vitu...
1 Reactions
5 Replies
847 Views
Habari wadau Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Wasifu wangu ni: Rangi: mweusi. Afya: sina virusi vya ukimwi. Kabila: mpare. Urefu : 140. Elimu: stashahada ya Elimu. Dini: mkristo. Dhehebu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Za mda huu Wadau wa jf. Niko mwanza Nina miaka kati ya 28 hadi 32 Ninahita mtu(mwanamke) ambaye anamaanisha kama nilivyoandika hapo juu . Siamini katika kuandika mamho mengi hapa ila kwa...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Sijali elimu wala age, kikubwa awe machakarikaj mwenye mawazo chanya anayejua kujituma, ajue kuna kupata na kukosa. Ila tu asiwe mzingua
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mi muislam,umri now Ni 40,natafuta MCHUMBA alie TAYARI aje pm! Mabingwa wa kukosoa hasa wanaume mnaweza kupita tu kimya kimya maana Kuna wakatisha tamaa humu kujifanya mnajua kiiiila kitu,nahitaji...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nitafurahi sana kama nitapata rafiki wa kike mwenye kujielewa na mwenye mawazo mazuri kuhusu maisha ya kila sila pia awe mtu wa iman/dini. Kama upo tayar nichek kwa lukeloisaac@gmail.com any...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 Nimeajiriwa kwenye taasisi fulani hapa Dar es salaam. Elimu yangu ni Diploma of Education. Mi ni mrefu, mweusi. (hapa najua kuna girl hatanizingatia maana...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za jukwaa Hili” Nahitaji kuwa na mahusiano ya Karibu na binti/ mdada mwenyewe ndoto za kujenga familia(kuolewa) awe mtu mwenyewe malengo na maisha... umri wangu ni miaka 32yrs nipo dsm’...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni mwanaume, naishi Dar es Salaam ni mfanyakazi na biashara pia. Natafuta Mke wa miaka 35 na kuendelea, mkristo na asiwe mchaga au mhaya. Kwa aliye serious tuwasiliane.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Natafuta husband material mwenye umri wa miaka angalau 30 hadi 35 Ma Dini mkristo (akiwa mlokole au mlutheri itapendeza zaidi) Sigara, pombe asiguse Anayejishughulisha ili aweze kuhudumia familia...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Natafuta mwanamke wa kuoa. Kwanza awe na vigezo vifuatavyo. 1. AWE MNENE, mwanamke mwembamba moyo wangu haumhitaji kabisa. 2. Awe mkweli 3. Muwazi 4. Anajali 5. Umri 20 hadi 24 Umri wangu ni...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom