Mimi nikijana Nina umrii wa miaka 27 naitajia mwanmke mzr mwenye kujua mapenzi tupeana rahaaa tu umri wowote ila ajiamin tu naishi dms napia nimejaliwa bonge la naniliuu kwahiyoo ukinitafut...
Natafuta mchumba wakuoa.
Vigezo.
Awe chin ya miaka 24.
Awe amepata O level angalau C ya mathematics
Dini awe mkristo.
Aliye tayari aje PM tutongea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji binti awe tayari kuwa rafiki yangu ili kwanza tufamiane kwa kina na kama mbeleni tutapendezana then twaweza kuwa wachumba.
MUHIMU:
-kwa wale wadada wasiokuwa na nia ya mapenzi ya kweli...
Kila mda Ni Kama 2025 na Mpenzi wa kweli,kila Mda awe na Mimi,Na kila sehemu yapo Mengi ila nianakotaka niende ananilinda nisiibiwe na vichomi wa mwiba wangu.Je nahisi kuchapiwa?Na Mda Sasa...
Hello humu ndani,ndugu yangu wa Kike anatafuta mume kuanzia miaka 36 - 45 awe mkristo na ikiwa yuko Mwanza itakuwa ni vzr zaidi,maana yeye yuko mwanza.Umri wake ni 36,kabila msukuma,ni...
Mim ni binti wa miaka 27, Kabila langu ni Mbena,
Mimi ni Mwalimu wa Sekondari dini yangu ni Mkristo. Sina Mtoto natafuta mume awe Mkristo na awe tayari kubeba majukumu kama Baba, awe tayari...
hello wana MMU,
ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nakuja apa jukwaani kutafuta mwanamke wa kuoa,
umri ni kuanzia miaka 18 hadi 27.
kwa aliye tayar njoo Pm
nawasilisha
1. Watu wanaigiza uhalisia
Katika eneo ambalo watu wanaigiza uhalisia wa maisha kwa kiasi kikubwa ni kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi pamoja na mitandao ya kijamii.
Watu huweka picha ambazo...
Habari zenu wadau, natafuta mchumba wa kike ambae atakuwa Mke umri wangu 34 asiwe na mtoto, awe mkristo, mimi nipo Dar es Salaam :mimi ni mrefu mweusi, mengine tutamalizana PM
Karibuni Sana
Habari za kutwa wapendwa?
Natafuta mke awe tayari kuishi pamoja mimi ni mkristo pia ni mjasiliamali sio lazima mwanamke awe na kazi KWANI NINA UWEZO WA KUKIDHI MAHITAJI YA FAMILIA.
umri wangu 25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.