Mimi ni msichana,nataka rafiki yeyote wa kubadilishana mawazo after work we me au ke ni sawa but story za apa na pale .msiniseme jamani ni upweke unanisumbua,nikirudi kazini nakosa wa kuongea nae...
Habrinii WanaJF
Refer to the heading above
Mimi ni kijana wa miaka 28 single up to this time, Napambana na hali yangu maisha sioo mabaya employed and entrepreneur
Sifa za mtarajiwa
1. Kitu...
Eti kila mdada akija kutafuta mchumba utasikia anatangaza sifa za bwana amtakae. Awe mcha Mungu, sijui mrefu mara mfupi, mweupe au mweusi n.k, kinachoniuzi mimi kwenye umri tu. Utasikia awe 28 -...
Kwajina naitwa Yusuph Omary Mlima miaka 28 nyumbani Morogoro khonda mafisa ila kwa sasa niko chalize mkoani Pwan kikaz natafuta mchumba umri 20-27 asiwe mnene wala mwembamba sana awe anajiheshimu...
Mimi ni mwanaume wa miaka 26 muislam ninaishi Dar, mweupe mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri (sio uzuri wa muonekano tu, na uzuri kutoka rohoni) anaye ishi Dar
Au mkoa...
habari za wakati huu wana jukwaa pendwa,kama heading inavyosemeka hapo juu,
sifa zangu
maji ya kunde
sio mnene wala mwembamba
nina kipato cha wastani kama laki nne hivi
nimepanga chumba na...
Hey,
Natafuta mdada mzuri yaani sura na tabia mwenye sifa za kuwa mke mwaka huu huu wa 2019.
SIFA ZAKE
Umri usizidi miaka 30,
Mkristo,
Awe mrefu kiasi,
Maji ya kunde/mweupe,
Ameajiriwa au...
Kwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa kunipa uzima hadi leo nimekuwa mtu mzima nafikiria kuoa.
Pia shukran za pekee ziende kwa wazazi wangu ambao walionyesha upendo wa dhati tangu nikiwa mdogo hadi...
Wapendwaa Habari zenu?
Mpaka nimefikia hatua hii siyo kwamba huku nilipo hakuna wanaume sababu ni kwamba mimi ni mwajiriwa wa serikali nimepelekwa ktk kijiji kimoja hapa Tanzania kiukweli...
Soma QT na Resittters
Kituo chetu kimekuwa ni kimbilio la waliowengi kupata Elimu ya sekondari walioikosa kwa sababu mbalimbali. Ni miaka mitano sasa tunatoa huduma hii muhimu katika ujenzi wa...
Habairi wana JF, Pasi na Shaka Mwaka ndio unaisha, na kila mtu ni wakati wa kujitathimini mafanikio, kasoro na mapungufu mbalimbali katika kutekeleza mipango aliyojiwekea mwenyewe mwanzoni mwa...
Namtafuta mwanamke awe rafiki wa dhati, mwishowe tufanye maisha pamoja. Awe mrembo, anajiheshimu, amesoma angalau hadi polytechnic ama college. Umri usipite 34, awe mkristo, na asiwe na mtoto...
Nasikitika kuona vijana wengi wa karne hii ni shida ukiwaangalia kwenye mitandao wanaonekana wako vizuri ukikutana naye uso kwa uso mkazungumza mawili matatu unagundua ni zilo maana ya mitandao ni...
Hello wakaka na wadada…
leo naweka assumption...prove me wrong
Ukiona umeweka tangazo lako la kutafuta mume au mke
wale wanaokujia na 'kila la kheri'
ni singletons..!!!
Either,wanataka uwa...
Ndugu wanajukwaa, Habarini za usiku.
Nyakati za sasa kumekuwa na changamoto kubwa kimahusiano, kwa mtizamo wangu ni kutokana na kuwa na matamanio ya kimahusiano au vitu na kuacha misingi ya asili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.