Nipo Arusha natafuta mpenzi serious na mwenye kujielewa.
Awe Mkazi Arusha na hana mtoto.
Aliyeko serious ani text kwa 0784 693295Kama ni ke basi cheki PM yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari..
Mimi ni kijana, 31yrs, slim, tall, Niko capital city. Self-employed, najimudu. Nahitaji mwanamke, preferably 38 -44yrs hivi, anayejiweza financially (NB: not to take care of me)...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, unapotafuta mpenzi weka walau hata mwili tu tuone, endapo utaona kuweka sura ni shida.
kwa wadada jitahidi kuweka hata shape tu, hili linaweza ongeza...
Nimechoka kuwa mpweke Mimi, nimechoka kugalagala peke yangu jamani.
Mimi ni mdada umri miaka 28, kabila Mngoni, mweusi kimo cha wastani.
Natafuta mkaka anayejielewa sina ubaguzi wa dini kabila...
Mimi ni kijana 28 yrs. Naishi dsm. Nimeajiriwa pia ninamishe zangu nyingine.
Ni mkristo.
Natafuta rafiki wa kike kisha aje kuwa mchumba hadi mke. Umri 21-27 ikiwa dsm au karibu na dsm...
Kuna wimbi la wake za watu kujirahisisha kwa wanaume nashindwa kufahamu nini tatizo au ndio wanajutia ndoa wanaamua kuja kutafuta faraja nje ya ndoa au ni umalaya maana wengine wanatimiziwa kila...
Nahitaji mpenzi na msaidizi wa maisha
Nimekulia maisha ya mahangaiko..nahitaji mtu wa kunitoa upweke na huzuni nliyonayo. Nahitaji kutulia nami
Naitaji wa kunishika mkono nitoke hapa nilipo...
Mi nafikiri haya maswala ya mahusiano na mapenz hayana mbwembwe, hakuna the best proven way ya kupata mtu sahihi.. it just happens kwa njia yoyote coz Mungu ana njia nyingi ya kuleta watu maishani...
Sina Mwanamke yeyote wa kunitoa upweke....,,simaanishi kwamba siwezi pata huku nilipo no.tatizo ubize tu wa hapa na pale ndo unanifanya nafasi hiyo niikose,,,,Aliyetayari naomba...
Nahitaji msichana mrefu rangi yeyote na kabila lolote anayejitambua ambaye atakuwa mke wangu kama ataridhika na mimi, umri usizidi miaka 27, awe amesoma hata kama ameishia kidato cha 6 na...
Hello ......Mambo zenu umu
Mwanaume mtanashati,mrefu kama mm mcha Mungu wa bata kiasi sio sana .
Sio lazima awe na gari ila awe mwanaume modern kiasi..
Mchapakazi popote Tanzania sio lazima dar...
Habari zenu humu!
Msichana umri miaka 28-35 anahitajika kwa ajili ya ndoa. Awe mkristo, elimu ya chini kuanzia kidato cha sita, awe msichana mzuri kitabia na muonekano. Ambaye yupo tayari kuolewa...
Habari za mihangaiko wananzengo wa jamii forum hasa kwenye jukwaa la "Love connect".
Mimi nimekuwa mdau na msomaji wa maada tofauti tofauti kwa mda mrefu sasa tangu naifahamu jamii forum mwaka...
Mimi ni kijana miaka 25
nahitaji mwanamke tuwe kwenye unyumba baadaye, sasa iwe ni kuishi urafiki tu.
Nina project nafanya ningependa anijoin kama yuko na muda au hana lakufanya kwa sasa, au kama...
Mimi Ni mtanzania , umri wangu ni miaka 31 najitokeza kwenu kutafuta mke kwa aliyetayari tuwasiliane , Mimi Ni mtumishi , sichagui dini kabila ,rangi ila umri wake usizidi miaka 27.aliye serious...
Heri ya mwaka mpya nyote humu.
Baada ya kuwa single takribani mwaka mzima 2018, katika kuingia mwaka 2019, sitaki kuwa single tena hivyo nimeona ni heri nitafute mchumba ambaye baadae atakuwa...
Habari za saa hizi.
Kwanza kabisa nikiri kuwa nishawahi kuja humu kutafuta kimwana ila ndo hivo mambo hayakuwa sawa. Kwanza kabisa nikiri kuwa nilipata kimwana ila hakuwa serious kabisaaa...
Habari za majukumu ndugu.
Nina Rafiki yangu Ameniambia nitamfutie mke
Nimetafuta mtaani hapa Nimekosa Nimeamua kuleta Tangazo humu MMU.
Sifa za mwanamke
Elimu Darasa la saba mpaka form 4...
Sifa zangu
Miaka 29
Mwajiriwa na nimejiajiri pia
Ni mweupe rangi
Mrefu wa kati
Nipo kanda ya ziwa
Awe na sifa
Miaka 20-30
Mwenye kazi au asiwe na kazi Sawa
Kimo chochote
Rangi yoyote
Awe mwelewa...
Hii ni thread yangu maalum kwa Ajili ya hili kwasababu id yangu common itafanya watu waseme “Hata wewe”?
Lengo la thread hii ni kutaka kukutana na mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
1. Awe muelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.