Jamani nimekoma,niliweka bandiko la kutafuta mchumba humu lkn nlokutana nayo n vituko vitupu,humu wengi wapigaji na wazenguaji..wengine wamekomaa balaa!!‹[emoji3][emoji3][emoji3] yan utoto...
Nahitaji mwanamke atakayekuwa tayari kuzaa mtoto/watoto
Nimeoa, akitaka kuwa mke wa pili haina shida. Au anaweza kuamua kuwa free, mtoto nitampa huduma na Upendo wa baba Kama inavyotakiwa.
Huduma...
Mm ni mwanamume wa miaka 28, natafuta mpenzi, awe anaishi Dar, miaka 18 - 25, awe slim (athlete body like, mweusi, dini yeyote) aliyetari aje PM
This is serious
Natafuta rafiki tutakaeweza badilishana mawazo kuhusu maisha, have fun together and all other stuffs.
Age awe 25 na kuendelea.
Karibuni PM (kwa walio serious tu).
Nina miaka 24
Namaliza chuo mwezi wa 7 (degree ualim)
Mnyakyusa
Mkrito
Pia najishughulisha na biashara
Sina mtoto
Sifa za MWanaume
awe ameajiriwa au amejiajiri
Mwenye kujituma na kupenda...
Kuabstain ndo njia pekee salama ya kujiepusha na UKIMWI na virusi vyake, pamoja na magonjwa mengine. Ewe kijana wa kike na wa kiume ambaye hujaoa au kuolewa; majuto ni mjukuu. Usicheze na maisha...
Habari wanajf.
Kichwa cha habari kipo wazi hapo.Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 32.Natafuta msichana/mwanamke awe mpenzi na hatimaye awe mke wangu.Awe mrefu kiasi,asiwe kibonge,umri...
Habarini wakuu,,
Niende mojakwamoja kwenye mada
Ni kweli kwamba wanawake ndoto yao kubwa huwa wanawaza kuolewa
Yani hilo hata halina mpinzani
wanawake siku zote wanawazaga katika fikira zao kuwa...
Wadau,
Niko kwenye mchakato wa kudivorce na nimehamishiwa hapa Dar kikazi, natafuta msaidizi wa kazi za nyumbani aliye makini ambaye anaweza akasaidia pia kazi anazofanya mke akiwa nyumbani...
Habar wakuu ,
Daah leo nataka tu share faida na hasara na kufanya tendo la ndoa kila sku
Binafsi nimekua mfuasi wa daily sex siwez kukosa hata sku moja bila ya sababu zisizoepukika
Wazungu...
Nina hitaji mwanaume wakujenga nae maisha mwanaume mwenye miaka kati ya 29-37,dini awe mkristo,awe na kazi au biashara,pia awe ni mtu alie serious kweli,endapo ana watoto asiwe na watoto zaid ya...
Habari, mm ni mwanaume umri miaka 25 natafuta mpenzi wa like umri 20-24 awe anatokea iringa ili iwe rahisi kuonana., mm nipo Iringa. Namba yangu 0768448352 mengine tutaelekezana inbox
Sent using...
Wazima humu
Natafuta mtu wa kunisitiri maana naona hali yangu c hali tena na swala la kuzini silihitaji kabisaaa masikioni mwangu
Najikuta napoteza watu wengi ambao wananihitaji kimapenz Ila...
Habari zenu
Kijana mwenzenu baada ya kuona umri wazidi kuyoyoma na nguvu bado zipo nimeamua kutafuta ubavu wangu ili tuweze kuyajenga tuwe na familia(maisha yenyewe mafupi haya)
Sifa zangu...
nahitaji rafiki wa kike ambaye atakuja kuwa mchumba na hatimaye mke wangu ila atakayeweza kuridhika na huu ukweli wangu wa kimaisha kwa sasa.
ni kwamba kwa sasa sina kazi wala pesa kwani nimetoka...
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyosomeka Hapo Juu ...., Naitaji Mwanamke Ambaye Yupo Serious And Not 4 Joke
SIFA ZANGU
Nina Miaka 26
Muisilamu
Mjasiliamari
Elimu: Nimeishia Ngaz cheti
SIFA ZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.