Nina miaka 24 hadi sasa, mpango wangu wa kuoa ni 2018 {NDOA RASMI). Najua sifa za mchumba zipo ambazo hawezi kujipa yeye bali mipango ya Mungu. Nahitaji walau awe na sifa hizi..
1.Urefu wa...
Habari wana jukwaa.Mimi ni mwanaume mwenye miaka 34,ni mwajiriwa wa serikali.Na Ni mrefu kiasi na mnene wa wastani.Dini yangu ni RC na kabila langu ni mchaga.Natafuta mwanamke mwenye umri wa kati...
Mi ni mwanaume natokea nyanda za juu kusini, umri wangu uko ukingoni mwa 20's najitokeza kutafuta mwenza wa maisha ambaye yuko tayari na serious dini yangu mie mkristo, elimu ya kunitosha...
DADA ZANGU HUU NI MWAKA WA MABADILIKO.
TAKE IT OR LEAVE IT.
Umempata bwana...
Umempenda kweli...
Umemlalamikia kwa nini hakupeleki kwa wazazi..
Bwana akakupeleka kwa wazazi wake...
Hello folks!.
Natafuta binti wa umri kati ya miaka 20-25, ambaye yupo single na yupo tayari kuanzisha uhusiano wa kimapenzi.
Kama upo tafadhali njoo what's app +255654198363. Tuzungumze kwa upana.
Wanajamvi
Natafuta mwanamke aliye serious ambaye atakuja kuwa mke mwema kwangu, .Awe na sifa zifuatazo kwa ufupi;
1 Awe mcha Mungu
2.Awe Mkristo ,kama ni muislamu awe tayari kubadili dini...
Hakika ile furaha niliyoikosa muda mrefu, sasa imerudi.
Tangu nilipoamua kuhamishia mapigo yangu kwa mke wangu na kuachana na michepuko, nimejikuta penzi letu linanoga siku hadi siku.
Kila...
Habari zenu.
Natafuta mwanaume ambae endapo atakubaliana na hali yangu kimaumbile aweze kuwa Mchumba wangu na baadae awe Mume wangu.
Mimi ni mwanamke kamili isipokuwa ni She-Male yaani nina...
Habari!!
MIMI NI MWANAUME WA MAKAMO.
NAISHI DAR ES SALAAM.
UMRI WANGU,NAKARIBIA MIAKA 50.
NINA UREFU WA FUTI 5 NA INCHI 7(SM 170).
MAJI YA KUNDE.
MWEMBAMBA.
Nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto...
Hello wadau. Husika na Habari hapo juu
Natafuta mwanamke anayejielewa
-Awe angalau Maji ya kunde au mweupe WA asili no mkorogo
-Mrefu kiasi tuu, asiwe mfupi sana, maana mimi ni mrefu kiasi
-Akiwa...
Naitwa Joseph naishi na VVU nna miaka 32, naishi Mbeya ni mfanyabiashara, mkristo na mcha Mungu elimu yangu diploma na sina mtoto.
Natafuta msichana mkristo miaka 24-28 mkristo na mcha Mungu...
Kwenye simu yako ya mkononi, mchepuko wako wa kike/kiume umeuandika jina gani ili mmeo/mkeo asiutambue? Mimi nimeupa jina BOSS WANGU, tena akipiga simu nikiwa na mke wangu, wakati wa kupokea...
Habari zenu
Ni kijana wa miaka 26 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya...
Natamani kupata mdada umri (18+
Sifa.
Uwe single
Usiwe na HIV
Mwenye malengo
Uwe umemaliza form four +
Rangi yeyote
Urefu wowote
Uwe na pesa au hauna haijalishi
Uwe unapenda kugegedana
Mcheshi...
I am goodlooking professional guy in his early twenties, I am looking for a openminded lady in dsm to have a discreet relationship with them over the weekends with no string attached and no cash...
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ni mtumishi wa serikali nimerudi tene kwenu wanaMMU Natafuta mchumba na baadae kuwa mke. Ningependa awe na vigezo vifuatavyo
...mkristo dhehebu lolote..akiwa...
Nina miaka 35 mkristu wa madhehebu ya RC. Nina mtoto mmoja wa kike 7 aged na naishi IRINGA. Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
. Awe mkristo wa dhehebu lolote ila kama ni islamic asiadhiri maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.