Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji mwanamke aje kuwa mke wangu wa maisha mwenye hali kama yangu.
*Sifa zangu ni..
1. Mwajiriwa na nimejiajiri ili kuongeza kujikimu zaidi.
2. Mrefu wa...
Kama unajijua una hizi sifa kiuhalisia nakukaribisha....
Mcha Mungu sana na unaishi Kimungu na una Hofu nae
Kipaumbele chako siyo Hela, Mali au Kazi kubwa kwa Mwanaume bali ni Utu, Uaminifu na...
I’m pretty easy going, down for whatever. I have a huge heart, and I care a lot about people. I’m an open book, ask me whatever. I have a passion for knowledge. I have a passion for teaching. I’m...
Mimi nipo dar na nahitaji mwanamke mwenye umri wa miaka 25 hadi 60 kwa mahusiano ya dhati. Umri wangu ni miaka 49 na nipo serious with a true love tuwasiliane kwa namba 0784615578.
Hahari wana jamvi natumaini mko poah naomba Ushauri wenu kuna bint nilikuwa na mahusiano naye toka niko mkoa mwaka 2009 tuli tulikuwa na mahusiano sasa ilipofk mwaka 2010 niko fom two bro wangu...
Ndungu wana Jamvi nimeleta kwenu uzi huu ili tuweze kuuchambua, natumai humu wamo walioowa na wanaotarajia kuoa. Hapa utajifunza
Mke wangu mimi ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni...
Habarini wana jf wote hususani mliopo kwenye ukurasa huu wa love connect
Moja kwa moja nizame kwenye maada
Nina umri wa miaka 28 elimu nimehitihu shadaha ya kwanza(degree) Dini ni mkristo pia...
Wasalaam wana JF.
Ninataka kuoa. Baadhi ya sifa zangu mimi:-
- Elimu ya Chuo kikuu
- Miaka 34
- Kazi nzuri
- Ni mpole kiasi, lakini mkali sana ukinichokoza
Mke ninayemtaka awe na sifa...
Natafuta mchumba badae awe mme,na mungu akibariki tufunge ndoa kanisani, sifa awe mkatoliki,yaani Romani Catholic, asiwe na mtoto, asiwe aliwahi kuoa, awe na miaka 32 na kuendelea, anayejiheshim...
Umri Wang miaka 32. dini mkristo .ni mfanyakazi? nahitaj mke awe mrembo.dini mkristo .umri 23 hadi.28 .awe mwenye kujiheshimu .ambaye Yuko serious anicheki pm
Yan mwanaume mwenzio anaweka Uzi wake anatafuta maybe rafiki ...chakushangaza wanaoponda n wanaume pia tena mshaanza kutumia viwembe...
...nlitegemea kuona wanawake wakikoment na hata kama n...
Ningependa kuchukua wasaa huu kuwajulisha wana love connect kwamba ninatafuta rafiki wa kike ambaye baadae tukijaliwa nitapenda awe mke wangu na mimi niwe mume wake. Sifa zangu kwa ufupi ni kama...
kipepe JR.
mbele yenu waungwana.
once again!
ebana kwanza niwashukuru waliolianzisha jukwaa hili, kwani ndio walionifanya sasa nimempata 'wife material'
siku chache zilizopita, niliweka bandiko...
Upweke mbaya sana, marafiki wa kike ninao, mtaani wasichana wapo ila bado sioni kama nina watu sahihi.
MIMI:
Kijana wa kiume.
Mkristo.
Mweusi, mrefu kiasi.
Sina kazi ya kudumu wala biashara ila...
Habari yenu ndugu jamaa na marafiki mliopo ndani ya Jf.,
Nia na madhumuni ya kuandika uzi huu, nihitaji la msingi kabisa ambalo kila binadamu aliyekamilika lazima alitimize.
Mim ni mhitimu wa...
Jamani wana JF,
Mimi ni mara yangu ya kwanza kuleta mchango humu ndani kutokanna na upya wangu katika majukwaa haya.
Ni mwanamke wa miaka 28. Ni mwezi wa sita sasa sina uhusiano kutokana na...
Mchumba baade aje kuwa mke anahitajika.
Sifa zake..
Umri miaka 22--35
Kabila lolote
Makazi-Dar es salaam
Akiwa mnene itapendeza zaidi
Rangi yeyote
Elimu kuanzia kidato cha 4
Mrefu au mfupi vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.