Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wana jukwaa kma heading inavoonesha natafuta serious mwanamke mwenye hio age sifa asiwe na mume tu, na uwe na pesa sitaki vizinga me ni kijana wa 24yrs, nimechoka na mapenzi ya hawa mabinti bora...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hellow nahitaji marafiki wa kubadilishana mawazo ikiwezekana tujenge undugu kabisaa, jinsia yyt. Umri wwt ,naamini katika kukutana na watu vingi tunajifunza. PS Wale wa kusema mtaani kwenu...
15 Reactions
87 Replies
6K Views
Sichagui jinsia wala kabila
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sichagui dini kabila wala rangi...umri kuanzia miaka 18 mpk 35
3 Reactions
96 Replies
7K Views
Jamani mi mgeni humu natafuta mchumba Arusha mjini mweupe mnene kias mrefu,awe nakazi au hana its ok mi mwenyew nimejiandaa nipo serious sitanii,umri wangu 33 years elimu dip Nina ksz ya kipato kidogo
0 Reactions
16 Replies
39K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza,mimi nikijana mwenye umli 36 natafta mchumba wa kike,haijalishi nidinigani Jambo muhimu awenimuelewa mkalimu asiye nagubu nazaidi ya yote asinipenda Sana ila...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Hello forums. Chat and Talk
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri kati ya miaka 24_28.Natafuta mchumba ambaye yuko tayari aje tuyajenge tuanze maisha. Kwa kuwakumbusha tu, sina nyumba wala gari, aje tuanze kuyajenga kwa pamoja...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
mambo zenu? Natafuta mwanamke wa kuoa jamani upweke umenichosha, Kaz yangu ni Biashara Karibu Pm kwa waliotayari
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Title inajieza, natafuta mwanaume wa kubadilishana mawazo ,umri 30_ 35 pm nitajibu, kama unapatikana Moro, dar, ni nzuri zaidi
8 Reactions
58 Replies
8K Views
Umri wangu miaka 28, Mimi ni mkristo Nahitaji mwanamke wa kuoa umri wake ni miaka 20 Hadi miaka 26 awe mrembo na anayejua wajibu wake kwa familia pia mcha mungu sichagui kabila dini ila asiwe...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nipo dar kikazi na kimakazi nahitaj mwanamke mkweli awe mnene na mpenda kujiendeleza. Umri kuanzia miaka 25 wangu miaka miaka 49 namba Zangu 0789353455
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Masharti haya hapa »Awe tayari kufunga ndoa nami mapema iwezekanavyo ikibidi wiki ya pili au ya tatu baada ya kukutana. Sitaki maswali kwa hili nina sababu zangu. »Awe mstaarabu, wale wa macho...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Habari zenu wana jukwaa hili la mapatano; Nimekuja kwenye jukwà hili niweze kumtafuta Mwanadada anae jiheshimu, msafi na yupo tiar kwa mahusiano ya ndoa kwa "baadae kidogo tu" Nina miaka 31 na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
I need some girls wanaopenda kuchat as just a friendly check m whatsupp +255656830740
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Nina miaka 27 ni mkazi wa dodoma kabila langu ni msukuma Nahitaji sana kuwa na mke sema nahofia sana kipato changu kidogo Nina biashara mbili za nguo kila biashara moja inaniingiza mapato ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
habari za muda huu tafadhali nisiwachoshe sana Bali niende straight to the point.Lakini nikili tu kwamba sio mzoefu sana katika uandishi kwaiyo nitakosea sana na muonapo makosa nisahiisheni ndugu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo. 1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea, 2: Awe anajitambua 3: Awe anaweza kuongea kiingereza 4: Awe anajua kupika na msafi 5...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Kwa heshima na uadilifu najitokeza hapa kumtafuta mwanamke mwenye ugonjwa wa virusi vya maambukizi ya ukimwi kiukweli,ili awe mke wangu wa maisha yote!!Mimi ni mwanaume wa miaka kati ya 47 na...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Back
Top Bottom