Wakuu habar,,,
Kwa kuanzia tu, toka nijiunge humu huu ndio Uzi wangu wa Kwanza na nimejifunza mengi Sana toka niwe member humu, Leo nimekuja na ombi moja tuu, baada ya Kuwa na mahusiano mengi...
Habari wana JF
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Ninaishi na HIV.
Ni mfupi wa wastani, sio mweupe wala mweusi. Ni mkiristo, ndo nimemaliza diploma ya records management.
Natafuta mwenza...
Mimi ni binti wa miaka 26,ninaishi na VVU natafuta mume wa hali yangu awe mkristo 29-35 mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu.Mimi ni mrefu,mweupe kiasi na Nina bachelor.
Sent using Jamii Forums...
Kwa mara nyingine nakuja mbele zenu wadada nikiwa na ombi lile lile: Natafuta mwezi wa maisha. Sifa zake
- Awe mrembo / mzuri sana. Hapo sina-compromise aisee. Kama sio mzuri pita mbali.
- Rangi...
Nahitaji msichana ambaye tutaingia ktk mahusiano ya mume na mke.
Sifa za anayehitajika
-mkristo
-umri asizidi miaka 25
-awe hajawahi kuzaa
-awe mzuri, (mbaya wa sura na shepu atanikinai mapema)...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 ninaishi na virusi vya ukimwi natafuta msichana mwenye hali kama yangu awe mke wangu dini awe mkiristo,umri usizidi 25.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyosomeka Hapo Juu ...., Naitaji Mwanamke Ambaye Yupo Serious And Not 4 Joke
SIFA ZANGU
Nina Miaka 27
Mkristo
Mjasiliamari
Elimu: Nimeishia Ngaz cheti
SIFA ZA...
Mambo vipi ladies wa Dodoma.
Naitwa Godson ninatafuta girlfriend wa kunisapoti kwenye maisha ambaye ikiwezekana baadae atakua mchumba wangu na nitamwoa. Ninataka kuwa milionea mkubwa na safari...
Mimi ni mwanaume naishi kahama shinyanga mwenye miaka 39 mi mweusi sio sana ni mlefu wastan tu sio mnene wala mwembamba dini yangu mwislam situmii kilevi chochote
Natafuta mwanamke wa kuishi nae...
Sometimes life huwa linakwenda vile ambavo hatutarajii but one of the biggest strength of human being lies on is friendship, ndo maana kila unapokwenda unajitahidi kupata rafiki hata kama ni mgeni...
Habari za wakati,husika na kichwa hapo juu,natafuta mwanamke ili awe mpenzi,awe anaishi dar,awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 32 na kuendelea......Mimi Nina miaka 26 ninafanya kazi na najiweza...
Habari zenu wapendwa wa jf ,jina naitwa cirmick naishi morogoro, umri wangu ni miaka 30-40,elimu yangu ninashahada ya kwanza,dini mkristu,mzaliwa wa hapahapa Tanzania,kazi nimeajiriwa,
Mke...
Habari natafuta mke wakuoa awe na vigezo vifuatavyo
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua na creative kutafuta pesa.
3: Awe tayari kuishi nje ya nchi...
Hellow warembo wangu wote wa Jf wakubwa kwa wadogo habari zenu..,natumai mu wazima wa afya,ni hivii..
MCHUMBA NA HATIMAYE MKE ANAHITAJIKA..
(01). mimi ni kijana 24yrs ,living in dar es salaam...
Niliachana na mke miezi sita iliyopita kutokana na mke kutokuwa mwaminifu na kuchepuka mara kadhaa. Nina watoto Wawili wa kiume mmoja na wa kike mmoja. Wote wanasoma shule ya Msingi. Mimi ni...
Mimi ni kijana above 35 mwenye elimu ya vyuo nina shughuli zangu halali za kuniingizia kipato cha kusustain maisha ya familia. Mwanamke ninaemtaka awe above 25 to 35 no problem. awe na elimu kiasi...
WanaJf amani iwe kwenu,
Sasa nimeamini mke bora waweza mpata hata Jf ukimuomba Mungu.
Mimi nimempata na sasa ni mwezi tangu tufunge ndoa.
Namuomba Mungu azidi kuilinda ndoa yetu.
Habari zenu wana jamii?
Mimi ni mwanaume mwenye sifa zifuatazo:
1.Nina 34yrs.
2.Maji ya kunde.
3.Kimo ni wastani(mrefu kiasi).
4.Mwembamba(sio sana ni mwili wa mazoezi).
5.Nimesoma hadi darasa la...
Mimi sio mgeni huku na nakiri kuwa hii ni ID yangu ya pili.
Umri na wakati wa kuoa umefika na naomba kutumia jukwaa hili kutafuta mwenza ikiwezekana mapema mwakani tufunge ndoa.
Sifa zangu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.