Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Umri wang Miaka 33 natafuta mchumba lazima atoke Morogoro.Awe na elimu walau kidato cha nne.Awe mrefu sijali rangi,asiwe mfupi na awe anajiheshimu.Wassap no 0654 501724
1 Reactions
2 Replies
692 Views
Heri ya Xmass wadau wa JF.... SWALI: Sasa mimi nauliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa pia. Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Oh.. I feel like i've been locked up tight For a century of lonely nights Waiting for someone to release me You licking your lips and blowing Kisses my way But that don't mean i'm gonna give it...
0 Reactions
3 Replies
734 Views
Habari za kutwa wapendwa? Natafuta mke awe tayari kuishi pamoja mimi ni mkristo pia ni mjasiliamali sio lazima mwanamke awe na kazi KWANI NINA UWEZO WA KUKIDHI MAHITAJI YA FAMILIA. umri wangu 25...
0 Reactions
2 Replies
791 Views
Mda si mrefu mtapata aka anko wana jf lakini kabla sijaoa nilikuwa nasikia mwanamke akiwa mjamzito huwa anamchukia sana mwanamume aliyempa mimba inafika kipindi hataki ata kumuona. Lakini huyu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Looking for an ambitious wife Educated,Independent,Ambitious,Outgoing,Disciplined,Living in Dar es Salaam About me: Uneducated,non-independent,non-ambitious,undisciplined,poly-amorous, Living...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nahitaji mwanamke wa kuoa mwenye sifa za kuwa mke. Sifa zangu: Umri 28 Dini mkristo Mengine pm Sifa za nimtakaye: Awe chini ya umri wangu . Sichagui dini. Awe anajitambua . Kwa aliye tiyari...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Guys wapi raia wema wa magu wanaoishi au walioishi wilayani Igunga tujuane
0 Reactions
3 Replies
2K Views
natafuta mwanamke .wa kuondoa upweke Lonely I'm so lonely I have nobody To call my own I'm so lonely, I'm Mr. Lonely I have nobody To call my own I'm so lonely
0 Reactions
16 Replies
975 Views
Umri 22-30 Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
1 Reactions
2 Replies
990 Views
Natafuta friends wa kike na kiume wenye malengo na busara na kujierewa kwanzia miaka 18-30
1 Reactions
2 Replies
670 Views
Enyi wanawake/wasichana wenye tatizo la kutofikishwa katika mapenzi au kileleni njooni Pm kwa msaada zaidi angalizo usiri katika mapenzi na kuwa mwoga kueleza tatizo ndiyo kuzidi kukuza tatizo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello naitwa wanajamvini pls natafuta mchumba ambae soon atakuwa mume awe kuanzia miaka 35 na kuendelea, awe mkristo na awe tayari kupima. Akiwa na mtoto asizidi mmoja mm Niko mbeya. Sichagui...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Aseeh kuna maswali huwa sisi wanaume tukiulizwa yanaleta utata na endapo ikitokea umejibu kijinga basi ndo unakosa kila kitu Hembu tupeane uzoefu jins ya kujibu haya maswali... 1.UMETOA WAPI...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
NATAFUTA MKE MWENYE SIFA HIZI: 1. MKRISTO SAFI ALIYEOKOKA 2.UMRI 28-40 3.KIPATO CHA KAWAIDA, HATA KAMA HANA KAZI SITASHINDWA KUMLISHA NA KUMVISHA, KIPATO CHANGU NI KAWAIDA ILA KINATOSHA KUENDESHA...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Km uko tyr kuja dm tuongee kikubwa
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana JF? Awali ya yote, nimetanguliza salamu kwenu nikiwa na matumaini kuwa mko vizuri. Katika chapisho hili, nimependa kutoa hitaji langu kwenu kuwa kupitia jukwaa hili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadada' Mimi nipo hapa JF miaka mingi saana......na nimegundua kuwa hapa ni sahihi kwa watu sahihi! Nisiandike saana mm ni mwaume wa miaka 32 sasa najitambua nafanya kazi na naendesha...
0 Reactions
7 Replies
895 Views
Mimi nina 30 umri nipo mbeya nimeajiriwa sirikalini lakini pia nimejiajiri mwenyewe. Nahitaji mke mwenye umri kuanzia 23 mpaka 27 awe mrefu wa wastani kabila lolote..dini yoyote naomba awe...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Salaam, moja kwa moja kwenye point nahitaji mwanamke mwenye umri 30 - 60 kwa ajili ya uhusiano wanawake wenye umri chini ya hapo nyie mko vizuri na mnapendeza ila kwa muktadha wa hitaji langu nyie...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Back
Top Bottom