Mifano ni mingi sana humu nchini.
Hivi shida hasa huwa ni nini, licha ya kujiapiza na kusifiana kupitiliza mtaani, mitandaoni na kwenye vyombo vya habari mpaka kutoa machozi, lakini mwisho wa...
Wakuu
Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)
Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)
Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua...
Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama.
Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu...
Mwanaume kumbuka kwamba uyo Lusifa unaemuita mke, mchumba, baby n.k sio ndugu yako uyo, ni stranger tu ambae umekutana nae ukubwani akakubali kujiweka kwako kwa masilahi yake, ana uhuru wa...
Katika maisha ukishafikia umri wa kuoevuka kibiolojia ni lazima utalazimika kutimiza matakwa ya kibiolojia.
Kuna umri fulani ukifikia hujaoa ama hujaolewa ni lazima utaanza kujiona ni mwenye...
Je umedhurumiwa mpenzi au umeibiwa hela au kudanganywa kwa lolote na mpenzi wako? Kama jibu ni ndiyo basi nakushauri ukae kwa kutulia na usipange kulipa kisasi.
Siku zote kulipiza kisasi kamwe...
Habarii,
In short I am a single woman of 38yrs of age blessed with 2 beautiful kids. Black in complexion, petite with moderate height. At the moment I am living within EU.I am a God fearing n SDA...
Waslaam wakuu, kwanza naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwa mwenzetu bafetimbi kwa kuanzisha thread murwa kabisa ya Nofab challenge ambayo imeonekana kupokelewa vizuri Sana na Wana...
Aisee.
Mapenzi ya sasa yamekuwa moto.
Tumeacha Romance tumejifunza ya kwenye video sasa tunafanya Prac.
Kuzama chumvini imekuwa kitu cha kawaida. 69 imekuwa normal.
Watu wameacha asili...
Mwanamke unayemchagua awe mwenza wako ana affect...🤨
Afya yako ya akili
.
Amani ya moyo na akili
Mafanikio yako
Mahusiano yako ya kiroho na Mwenyezi Mungu
.
Na effects zinadumu kwa kipindi...
Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole.
Hawajui Hii...
KAMA HUNA HELA UTAZINGATIWA NA WACHACHE JAPO NAO KUNA MUDA WATAKUCHOKA ILA WATAKUFICHA. USIJUE 😔
Dunia ni katili sana kwa mtu ambaye hana pesa kuna muda utaona kama mwenye pesa anapendelewa ni...
Hii app ya Whatsapp sioni faida yake kabisaaa imegeuka kausha damu kwangu, imagine nina group tano za michango ya harusi na zote zinadai 50K kwenda juu. Na bado sijui kama kutakucha bila kuongezwa...
Mhadhara - 34:
Tukizungumzia msiba ni tukio la ghafla - msiba hutokea ghafla. Kwa watu ambao wana maisha ya kawaida matukio ya misiba yanawakuta wafiwa kwenye hali mbaya ya kiuchumi. Hivyo ni...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mimi nimekuwa muumini sana wa kipaumbele cha chuchu Dodo, ila kwa hakika naomba nikiri niombe radhi nilikuwa nimepotea kimtizamo na kivigezo , Nyashi Ina mchango...
1. Mwanangu, ukiona unatumia pesa kwa mwanamke na hajawahi kukuuliza kama unaweka akiba au kuwekeza, na anaendelea kufurahia tu, usimuoe huyo mwanamke.
2. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mke...
"According to Psychologists, there are four types of Intelligence:
1) Intelligence Quotient (IQ)
2) Emotional Quotient (EQ)
3) Social Quotient (SQ)
4) Adversity Quotient (AQ)
1. Intelligence...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.