Ni huzuni, majonzi si ya kuondokewa na mtu wangu wa karibu la hasha, ni masaibu niliyokutana nayo leo alfajiri.
Mama mdogo ana wiki 4 tangu aje kunisalimia, ni mtu wa makamo miaka 38 ila...
Mapenzi ni kilele cha burudani duniani hasa ukiwa na umpendae na ukitegemea makubwa zaidi kwenye burudani ya sita kwa sita
Wenzetu huwa wanakabiliwa na matatizo kadha wa kadha yanayopelekea...
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
Najua uko humu, sipendi tabia yako ya kutonipa hela ya matumizi
Sawa umenipangishia hapa mjini hotel ya maana lakini hunipi hela ya matumizi na ya matembezi yangu kwenye hili jiji.
Kesho...
Mwanamke anakuheshimu, anakuwa na msimamo pamoja na vishawishi anavyokutana navyo ila sasa mume aliyenaye ni pasua kichwa.
Jana usiku mwanaume kaondoka kapata dharula kasahau simu ya smart, kwa...
Kulingana na kazi ninayofanya ya utatuzi wa migogoro ya kijamii nimepokea kesi nyingi za wanawake za watu kuzaa na wanaume wengine wakati waume zao wapo hai
Nimegundua wanawake wa watu...
Baada ya kupotea humu jamvini kwa miezi kama mitatu leo nakuja na mada ya visasi kwenye mahusiano na athari nilizokumbana nazo.
Kuna mwanaume nilikuwa nampenda sana mpaka basi, nikawa na hisia...
Wakuu,
Mtu umechoka, unaingia jukwaa la MMU ili angalau upate auheni na kujifariji baada ya uchovu wa siku, lahaulaa!!! Unakuta story yenye tittle nzuri kabisa kumbe ni chaiii.....daah inakera...
Wakuu habari za saizi,
Wakazi wa Dar niwape hongera au poleni na mvua? To day Dar iko powa sana hali ya hewa inaruhusu.
Kutokana na hali ya hewa kuwa nzuri tuambie jambo zuri alilowahi...
Ilikuwa siku ya ijumaa mida ya saa tano nikaingia kiwanja nikapate local beers mbili tatu akili ikawe sawa.Ghafla akaja mdada na jamaa yake wakakaa meza ile niliyotulia mimi,wakaanza vinywaji...
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda...
Habari, nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kwa muda wa mwaka, sasa mara ya mwisho kukutana nae kimapenzi ni wiki tatu zilizopita na kabla ya hapo sijakutana nae kimapenz zaid ya miez mi3...
Nafuatitilia kipindi Cha Wasafi Media, kinachorudhwa LIVE muda huu, ambacho kimepewa jina la HAUJUI, nikishuhudia mtangazaji wa Wasafi Media, Oscar Oscar, akimuuliza mtangazaji mwenzake anayeitwa...
Wakuu yule msichana alieniambukiza UTI sugu kanicheki kasema na yeye anaumwa ila hataki kwenda hospital. Mimi nimevunga sijamwambia kwamba ana UTI sugu😅😅.
Tumieni Kinga wakuu!!!!
Mitandao ya kijamii na mawasiliano ya kidijitali vimebadilisha jinsi watu wanavyohusiana, na hii imeleta changamoto mpya kuhusu uaminifu, muda wa pamoja, na jinsi ya kudumisha ukaribu.
Katika...
My people how's weekend?
Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari.
Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
Tanzania mke anaonekana ndio mfuaji. Ila huku kufua ni jambo la kimashine zaidi. Na hata kama hamna mashine ya kufulia nyumbani viko vitu vya kufulia kwa gharama nafuu na hakuna maseke.
Mfano...
Wakuu nimeamua kusamehe kwa sababu sijui atakaenizika nimewasamehe wabaya wangu lakini nisingependa ukaribu nao, tukikutana tusalimiane tu kwa bashasha lakini sitaki ukaribu nao.