Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hivi hamuoni aibu jamani dada zetu. Unamuona mtu kwenye picha yaani ni mzuri mpaka unasema waaaaaooooh. Lakini kumbe kaji edit. Kote huko ni kumchanganya mwanaume tu. Tuoneeni huruma basi.
7 Reactions
8 Replies
375 Views
Copy and paste kutoka kwenye page ya HIV living postive instagram. "Naitwa XXX naishi iringa naomba msaada napitia kipindi kigumu sana sijui nianzie wapi nina stress nyingi sana nimeolewa na...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za jioni. Yaani si ofisini si kwenye lift si kwenye sehemu yoyote msichana akiomba msaada anasaidiwa haraka sana. Balaa kwa madume hata litoe machozi halipewi msaada.Mwenye gari anaweza...
8 Reactions
32 Replies
830 Views
Normalize kutokuwa muhitaji kiasi kwamba uhitaji wako ukaifunga akili na hekima yako na kukufanya ukawa mwehu kuweka mwili wako rehani sababu ya shida za kupuuza na kupita. Ishi kwa kutokutegemea...
19 Reactions
60 Replies
2K Views
Hua nashangazwa sana na kauli isemayo "kuolewa ni bahati" toka kwa wanaume na hata wanawake. Kauli hii hua inatoka kwa watu wanaoamini kwamba kwa kuolewa, mwanamke anakua amefanyiwa FAVOUR...
9 Reactions
129 Replies
9K Views
Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye...
17 Reactions
117 Replies
7K Views
Salaam, Mwanamke akikupenda atakupa cheo cha baba katika maisha yake, kwako atatarajia upendo na malezi toka kwako. Kama mwanaume, ni wajibu wako kumfanyia yafuatayo: 1. Mdekeze kadri...
32 Reactions
128 Replies
3K Views
Good morning wakuu. Natumaini tumeamka salama. Naomba kwa kila mmoja vile anavyoweza kumuombea, dada etu Leejay49 leo anaingia chumba cha upasuaji, kwaajili ya jicho na sikio. Usiku...
22 Reactions
45 Replies
1K Views
Imetokea jana. Dada ananiambia kuna hutuma dhidi yetu hapa mtaani. Anasema ameshutumiwa muda mrefu sana lakini aliamua kupotezea tu ila alipanga kuna siku atapata sababu ya kusema na siku yenyewe...
3 Reactions
14 Replies
742 Views
Nimepata mwanaume aliye serious wa kunioa wa huko Musoma,Mkurya,ananiomba nimkubalie anioe na yupo tayari kufika kwa wazazi wangu akajitambulishe ili kuanza mchakato wa ndoa Ila naombeni...
6 Reactions
115 Replies
8K Views
  • Closed
Mimi kama kijana ninaye jitafuta bado ninaishi na mama yangu mzazi pamoja na mdogo wangu ambaye kwa sasa yupo kidato cha nne, dada yangu wa kwanza ameolewa yupo na familia yake yeye kaniacha miaka...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mmmh, Hivi majuzi yalinikuta, nilikutana na mdada kwa basi. Tukajuana nikamkaribisha sehemu majuzi akala mbuzi yangua na ka kvant. Kumaliza nikaomba mzigo nkakagoma kakaachia twende kwangu...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Sehemu ya 1. sina budi kuendeleza hii stori. Iko hivi wife na mimi tulifahamiana Kijijini. Nilikuwa F6 yeye akiwa F4 leaver. Nilimsaidia akapata Chuo cha Takwimu akaenda akafanya akapata cheti...
50 Reactions
306 Replies
18K Views
Kulingana na tafiti mbalimbali, nchi zinazoongoza kwa viwango vya juu vya usaliti zinaweza kutofautiana kulingana na vigezo kama vile tafiti za mahusiano, viwango vya talaka, na utamaduni wa...
3 Reactions
9 Replies
630 Views
Nilikuwa nasikia zamani wakati ndo tunakua,tunanukia umri wa kuanza kumjua mwanaume,wasichana wanatusimulia wanavyokuwa wanasafiri kwenye mabasi wanakaa sit moja na wakaka wanapiga stori za hapa...
40 Reactions
116 Replies
13K Views
Mwaka fulani huko nyuma, kama matani hivi kuna mwanaume mmoja alianza kunitongoza lakini nikawa namkatalia kwa sababu mbili 1,Alikuwa na mke na familia yake 2,Alinizidi umri kwa mbali mnoo kama...
25 Reactions
122 Replies
27K Views
Kwa sasa wanaume wanaamini kuwa mapenzi ni pesa ,yaani ili apendwe na mpenzi wake lazima awe na hela za kumpa kitu ambacho si Kweli Ukweli ni huu,sisi wanawake tunaridhika na mwanaume aliye...
27 Reactions
292 Replies
25K Views
The New Culture – does a woman need to solicit for a marriage? Effects of globalization in Present Tanzania Globalization has made Tanzania culture to be compromised in many ways. I am...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
What you think of yourself is reflected in the way you treat others. A very effective way to raise your own level of confidence is by acting positively toward the people around you...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Amri za Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala) tumeziacha nyuma ya migongo yetu na kuyafanya matashi yetu kuwa ndio muongozo wa maisha yetu. Uzinifu tumeufanya kuwa ni ada yetu na pombe ndio muongozo wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom