Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari jamani naombeni ushauri na naenda moja kwa moja kwenye mada, mwaka ulipita nilipata mpenzi ambae ndio nipo nae hadi leo hii, kiukweli huyu binti ni mzuri wa sura mweupe na ana shape nzuri...
12 Reactions
169 Replies
15K Views
Uzima upo? Majukumu yenu yanasemaje? Sijui ni mlemavu, nitakuwa nipo tofauti au nina tatizo kutokana na maoni ya watu humu ndani. Mimi siamini kwenye kupenda kusifiwa sifiwa, au kwenye kufanya...
6 Reactions
28 Replies
855 Views
Nilijenga kwenye kiwanja cha Mama mkwe, akaamua kuchukua mkopo kwa kutumia kiwanja hicho na wakataka mimi ndiyo nilipie! Aliniambia tusijenge kwenye kiwanja changu kwa sababu ni mbali na mjini...
16 Reactions
68 Replies
2K Views
JANGA JIPYA LA WANAWAKE WENGI KUTOKUJUA KUPIKA NN CHANZO!
17 Reactions
161 Replies
3K Views
Mwanaume akitoa chozi anadhihakiwa na wanaume wenzake lakini mwanamke akikunja uso tu wanaume wanaume wale wale waliomdhiahki mwanaume mwenzao wanamkimbilia uyo mwanamke kuhakikisha anatabasamu...
22 Reactions
85 Replies
2K Views
Mzee wa makamo alie ongozana na mwanae walikuwa wameketi pembezoni mwa kuta za mgahawa pale mlimani city, Hawakuonekana kuwa ni wazoefu wa maeneo hayo japo kijana alionekana kuwa mtanashati...
10 Reactions
6 Replies
417 Views
Mbali na uwepo wa supermarkets(Stores) nyingi huku Marekani, pia yako masoko ya wakulima au wanaita Farmers Market, at least kwa hapa nilipo sijui majimbo mengine kama kuna farmers markets...
5 Reactions
27 Replies
801 Views
Habari wana Jamvi, Hii imekaaje? Kama kichwa kinavyosema, mie na mpenzi wangu tumekuwa tukijiuliza sana pasi na kupata majawabu kwenye hilo jambo. Inampelekea mpaka mwenzangu anapoteza hamu ya...
8 Reactions
95 Replies
2K Views
Ni heri angekaa kimya tu watu tumesha mdondokea ye anakuja na stori zake za akina H!! why,how and when...? naumia roho huku machozi yananibubujika,nimeshindwa kula na stori yake sijasoma yote...
13 Reactions
52 Replies
1K Views
Leo nimewasili mjini Ushirombo nikaazima kitoyota allex. Yaani mpaka muda huu nishapelekea chuma barmaids watatu. Hirizi ni funguo tu. Kesho nitakuwa nyakanazi. Acha ujinga tafuta pesa. Nb...
15 Reactions
89 Replies
5K Views
Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka...
56 Reactions
297 Replies
10K Views
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani. Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam. Mapema wiki hii...
74 Reactions
328 Replies
16K Views
Kuna ukweli wowote kwenye hili ndugu, jamaa na marafiki zangu? Lalamiko hili linasambaa kwa kasi sana aise... Nini kifanyike kuzima uvumi huu wa kufedhehesha sasa, tusaidiane tafadhali... Zaidi...
9 Reactions
81 Replies
2K Views
Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti . Vigezo Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary Umri kuanzia 20 hadi 34 Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers...
19 Reactions
80 Replies
4K Views
Wakuu habari, namshukuru MUNGU kwakua nilikuwa naumwa hapa karibuni ila kidogo nimepata nafuu, japo bado naendeleza dozi, na pia baada ya kuisha , nitaenda kufanya vipimo zaidi kuhakiki 🙏🏿...
6 Reactions
20 Replies
893 Views
LEO TUONGEE NA WANAUME ✍️ Mijini hasa majiji haya makubwa kama Dar unaweza kutana na mwanaume akakuomba shilingi mia tu ya muhogo ila kila ukimwangalia unabaki na maswali mengi, sio vibaya kuomba...
7 Reactions
16 Replies
728 Views
Ehee Mungu tusaidie wanaume kwa kutupa afya njema tupambanie ndoto pamoja na familia zetu
2 Reactions
0 Replies
166 Views
Tujibiiii Hii sabuni mara nyingi naiona gest sasa najiuliza maswali kwenye pochi yake imefikaje na madukani ni ngumu kupatika yeye atakuwa kaipata wapi?
16 Reactions
113 Replies
3K Views
Mwanaume aliyeoa ni sawa na Greda linalojenga barabara lakini Barabara ikikamilika linaletwa Gari kubwa la kubeba Greda lisipite ktk barabara kwa sababu ya kusema litaharibu barabara. Mfano huo...
3 Reactions
7 Replies
273 Views
Back
Top Bottom