kweli muda unazungumza aisee kila kitu kipe mda
Yaani kipindi nakua nilkua nahangaika na wanawake yaani ndugu yangu mmoja akaniambia utakuja kuwakimbia mweyewe wewe tulia tuu nikawa naona ni...
Hii lodge nikiyofikia Leo imenikumbusha mwaka 2015 nilipokuwa Arusha field kikazi. Naandika huu Uzi nikiwa hapa Musoma (lodge kapuni), sasa hiki chumba kinafanana sana na kile Cha Arusha (Cha...
Hapa Vip!!
Juzi niliamua kufanya utafiti fulani ili nijue ni kwa Kiasi gani hiki kizazi cha sasa kimeamua kumuasi Mungu kwakukafanya vitendo vile vya sodoma.
Ukweli utafiti wangu nilifanya kwa...
Kuna ile mwanamke unamwona au mnafahamiana. Muda si muda mnapeana namba na mawasiliano kuanza. Katika kuwasiliana, mwanamke anajiletaleta au kujitongozesha.
Lkn inatokea mwanaume havutiwi na yule...
Habari wakuu,
Nahitaji wenye uzoefu au mifano halisi katika hili nisije ingia mkenge au kufanya maamuzi sio mazuri
Nilikutana katika ofisi napofanya kazi na Mwanamke ambae tuliwahi kusoma wote...
Mrembo: unajua Penny, nimefurahi umeanzisha youtube channel buana, sasa kuna ishu nataka nikupe
Money penny: enhe nambie mrembo
Mrembo: kuna wanaume wawili wananitaka,
Mmoja ni mtu mzima miaka...
Habari wanaJamiiForums.
Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa...
Dodoma kuna watoto wazuri asikwambie mtu. Ilivyobaki Laki 1 nanusu ndiyo akili ikarejea. Nimeambiwa kipindi cha Bunge ndiyo mambo yanakuwa hivi. Hili nalo mkalitizame.
Uzi wangu wa kwanza kuhusu mpenzi wangu kukataa kuja nami US ulipata wachangiaji kadhaa huku baadhi walionesha nia ya kuja na mimi. Basi nikajitosa kwa mmoja, kuja kukutana naye mtoto mashallah...
Habari za muda huu Wana Jf
Kutokana na halihalisi ya mabinti wa Sasa hivi kujiachia sana Hali imezidi kua Tete sana, Mimi ni kijana mwenye umri wamiaka 27 nilikua nampango wakuoa mwaka huu baada...
Watanzania, hasa akina baba, tunao wajibu wa kuwalea watoto wetu kwa kutowapa kila kitu, hata kama tumejaliwa utajiri wa kutosha.
Tunapaswa kuwafanya watoto wetu wa hustle ili wajue kuwa mali...
Situation One
Marry: Shouger mwenzako V anapitia kipindi kigumu saa hii na hana dalili ya kutoboa leo wala kesho, ingawa anajitahidi kunipa mahitaji madogo madogo ya muhimu na ananijali sana but...
Hali zenu, SakoKwaBako!
Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.
Tatizo langu ni la saikolojia...
Msimamo unilinde,siwezi kudate na mwanaume anayeishi Dar,yaani sijui kwa nini ila kwa kifupi ukinifuata pm ukishanambia upo Dar huwa sireply.moyo hupendi wanaume wanaokaa Dar
Kama unakaa...
Ngoja niende moja kwa moja kweye mada husika, jana mida ya saa 10 jioni nilipokea simu kutoka kwa bi mkubwa mmoja wa makamo kidogo miaka kama 55 hivi, huyu bi mkubwa alikuwaga jirani yangu...
Habarini wana JF,
Kwanza niwatakie heri ya sikukuu ya wapendanao mzidi kupendana. Tukirudi katika mada mimi ni mwanamke wa miaka 25 na mama wa mtoto mmoja. Nina mwenza wangu ambae ndio baba wa...
Habari wadau,
Tumekua tukibishana na wenzangu kuhusiana na upendo wa kwanza yaani truly love. Kuna wanaosema upendo wa kwanza unakua wakujitoa sana yaani kama msichana ama mvulana anakua na...
Imekuwa ni hali ya kawaida kwa baadhi ya dada zetu kuvaa nguo zisizo na maadili.
Je hii ni kwaajili ya kutafuta soko au fasheni. Na je wazazi wako na ndugu zako wanakuchukuliaje, na wewe...
Haijalishi mkeo kakuzidi umri, kipato au elimu usikubali mwanamke akuendeshe, usikubali dharau kutoka kwa mtu ambae unamvua nguo huo ni ubwege
Mwanaume uwe na principle zako kama hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.