Wakuu bila shaka mnaendelea vyema.
Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu.
Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu.
Kaka yangu...
Wana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila...
Kwanza kabisa nianze kwa kuwapongeza kwa huduma ya penzi lenu mwanana hakika mna mahala penu mbinguni.
Ushauri niliowaitia hapa ni kuwa dada zangu mnajisahau sana:
1. Unapokuwa mchepuko tambua...
PART 5
MICHEPUKO YA MUME WANGU NI NDUGU ZAKE WA DAMU
Baada ya kupiga simu nikaingia chumbani nikamwambia Mercy vaa nguo uje huku tuyamalize, sikuwaambia kama Mama anakuja. Mume wangu...
PART 1
MICHEPUKO YA MUME WANGU NI NDUGU ZAKE WA DAMU
Zamani nilikuwa nikisikia mtu anasema Ndoa sio ya kukimbilia au mwingine akisema ndoa sio kitu cha mchezo nilikuwa naona kama wananionea wivu...
Habari waungwana!
Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha...
Komassava!
Msaada wa ushauri.
Kaka yangu ameoa na imepita miaka mitano sasa . Lakini hivi karibuni kagundua kua mkewe alikua kashazaa kipindi anasoma na kumuacha mwanae kwabibi yake na hakuwahi...
Wakati wa uchumba ulikuwa unajitahid kukata " mauno " mwanzo - mwisho mpaka nikasema hapa nimepata. Sasa tumefunga ndoa na una watoto wawili ndani, lakini mauno umesitisha, kulikoni?
Yaani...
MY STORY; Simu ilipokelewa lakini hakusema chochote, badala yake nilisikia miguno ya watu wakifanya mapenzi.
Siku tatu baada ya ndoa mke wangu kuniambia kuwa anataka kwenda kwao kumsalimia mama...
Miaka miwili iliopita nimekuwa katika mahusiano na mpenzi wangu ambae kwa kiasi nilitokea kumuamini na kujihakikishia kama huyu angeweza kuwa mke wangu hapo baadae,
Mchumba wangu alipata kazi...
Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi...
"Aliona Ndoa kama biashara, tulifunga ndoa kwa miaka michache, akatalikiana na kuchukua 50% ya akiba yangu ya maisha. Pesa na mali zake zote hazikuwa katika jina lake"
–Tyrese Gibson
Hayo ni...
Yaani hamueleweki ..
Ndo maana mtu anaona bora akutongoze tu na ukaribu ufe..
Kuliko kuanza kuwaambia wanawake wenzio..''aha kwani yule mwanaume basi ..hamna kitu pale "
Kumbe mwenzio...
Hili suala la mimi kuwa Marekani mvumilie tu. Nimetoka mbali kama nilivyoeleza uzi uliotangulia. Basi bwana leo mzee wenu nikaambiwa kuna disco la kimyakimya sehemu(Silent disco). Nikasema ngoja...
Mimi nina mwanamke kiukweli nampenda sana na yeye ananipenda na tumejaaliwa kupata mtoto mdogo wa kike, lakini nyumbani kwetu hawamtaki hasa mama yangu mzazi pamoja na dada zangu.
Ukizingatia...
Ipo hivii hawa wanawake ndio wahusika namba moja kwa kudate na masponsa.
Na hawa masponsa wengi wao ndio viongozi wetu au ni watu walio kwenye vitengo vikubwa vikubwa wakiendesha taasisi au...
Katika kupita pita ofisini nimekutana na story ya lecturer mmoja alikuwa anafundisha na ndoa yake ilivunjika miezi mitatu iliyopita.
Sasa ile naingia ofisini nikakuta mateacher wanaongea kuwa...
Hello JF hope you are doing well!
Twende kwenye mada.
Huyu mzee tupo naye mtaa mmoja, ni mstaafu alikuwa nesi katuka hosii ya wilaya.
Huyu mzee amejenga nyumba yake katika kiwanja kikubwa tu...
DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF
"Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela...
Hello JF,
Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini. Last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.