Unakuta watu wengi walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa, mathalani walikutana masomoni, kanisani, safarini, kwenye sherehe, semina, kongamano au hata makazini tena bila hata...
Ujana una mengi, vijana wengi huwa wanaingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa tamaa za kimwili bila kuweka umakini wa kumsoma mtu uwezo wake wa kiakili na utafutaji, amini kwamba kuna watu...
Watu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda.
Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao.
Mimi nime msave π...
Habari wakuu jamani hapa ni ushauri wa kujenga tu ndio unahitajika.
Wakuu, mimi nimeoa nampenda sana mkewangu lakini hapa juzi kati nilichepuka na sikutumia kinga maana niliechepuka nae ni mtu...
Huyu niliechagua kumuweka ndani bwana story anazoweza yeye ni za mapenzi, mapishi na na gossip kwa mbali.
Mengine yote haelewi, unaweza hata kumtumia picha ya kawaida ya meme na asipate ujumbe...
Anaandika, Robert Heriel,
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Ukitaka bahati yako na mkondo wako wa pesa uanze kuyumba basi itakupasa uanze uzinzi au uasherati. Yaani hiyo ndiyo mbinu namba moja kabambe...
Wazazi wangu walikuwa wameoana kwa miaka 55. Asubuhi moja, mama yangu alikuwa akishuka chini ili kuandaa kifungua kinywa cha baba, alipatwa na mshtuko wa moyo na akaanguka. Baba yangu...
Habari zenu wakuu! Leo nataka tujadili suala muhimu sana katika maisha ya mwanaume. Wengi wetu tunajua kuwa kutafuta pesa ni moja ya majukumu makubwa ambayo mwanaume anabeba, lakini je, ni kweli...
Jumapili nilisahau pesa kidogo tu elfu 50 kwenye suruali yangu sasa jana jioni nimekuta shemeji yenu kaifua, mimi nikavunga, na leo ile suruali nimeitinga π
Ili kujihakikishia kama ni kweli...
Zipi faida za kuzaa watoto haijalishi wangapi na mwanamke mmoja, wengi hapa mtakuja na kigezo cha amani kati yako na mke na amani kati yako watoto na watoto.
Hivi kweli waliozaliwa familia Moja...
Akili ya mwanamke wa kisasa anapoanza kuingia kwenye mahusiano kwa mara ya kwanza katika umri kati ya 16 years hadi 26 years haijapishana sana na akili ya mhitimu wa masomo ya chuo a.k.a graduate...
========
Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba...
Wakuu habari?
Mchepuko wangu alinipa wazo moja la biashara, na katika kulitathmini likanishawishi na kunipa matumaini, kwa sababu kama nitalitekeleza kwa ufasaha, linaweza kutengeneza matawi hapa...
Kwema wakuu,
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda.
Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa...
Hello morning π!
Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira.
Lakini utafiti wangu wa...
Salaam wakuu,
Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa...
Katika harakati za maisha tunakutana na mengi. Maendeleo ya Teknolojia yametuletea hizo zinazoitwa dating sites.
Binafsi nilipata mwenza wa maisha Dating site (jina kapuni - Kwa kuzingatia sheria...
Habari za muda huu wanajamii,
Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha.
Ndoa ni...