Nilikua Na Mahusiano Na Mfanyakazi Mwenzake, Kajua Naona Kama Kabadilika!
Mwezi wa 3 mwaka jana nilianzisha mahusiano ambayo hadi sasa ninajutia kwanini niliyaanzisha. Ni mahusiano ambayo...
Wanaume kutamani na kumpenda msichana ama mwanamke wenye makalio makubwa siyo ajabu, yote ni vionjo viletavyo ladha katika mapenzi. Utajifunza mapenzi uendana na wakati katika kuthaminisha...
Ni Heri kidonda cha mguu kuliko cha moyo.
Watu wengi wanapitia mateso makali tena yanayochoma zaidi ya moto wa nyika na hii ni kutokana na kushindwa kusahau makosa waliyofanya kipindi cha nyuma...
Je, wajua ni ipi lugha yako ya kimahaba?
Japo tunaweza kusema kuwa haya ni mambo ya wazungu. Lakini kihisia binadamu wote tupo sawa huku tukiwa na tofauti ndogo ndogo zinazotutofautisha na...
Habarini Wadau,
Katika mahusiano ya wapenzi inawezekana kabisa kumpata mpenzi mwenye vituko au maajabu (sio jini ila mtu)
Kuna wanaokutana na Vikojozi, wenye mapepo, walafi, maneno mengi n.k...
1)WANAAMINI KABILA LAO NDIO BORA KULIKO YOTE
Wanaamini kabila lao ni bora kuliko yote na ni lazima kila Mtanzania ajue kabila hilo na kama kuna mtu ambaye halijui basi mtu huyo ni...
Kwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na...
Siku hizi ukichati na manzi tinder au badoo utakuta manzi anasema yuko chuo flani, UDSM, IFM, SAUTI n.k. Ajabu ukiomba tunda atakupa bei then namba ya simu then mnakutana eneo la mikasi.
Huwa...
Mara nyingi nimekuwa nalaumiwa sana na mabinti ninaokuwa nao kwenye mahusiano kuwa sipendeki,kwa madai kadhaa ikiwemo kuwa sijali na au sionyeshi kama napenda kweli ile upendo wa kuonekana...
Wasalaam rafiki na Members wote humu.
Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza rafiki yetu na mpendwa wetu Ms Leejay49 amerudi na anasema amepona.
Nasema Alhamdullilah kwa maombi yenu na dua zenu...
Nimemuacha Mume wangu kwaajili yake yeye hajali kanitelekezea watoto wake!
Hapa ofisini kuna kaka mmoja ni mwalimu mwenzangu. Wakati naajiriwa alinikaribisha vizuri sana kiasi kwamba alihangaika...
Huwa najiuliza mtu unaingia gharama kubwa, unainvest muda, pesa na hisia. Wengine mpaka wanakosana na majirani na ndugu kisa hii kitu eti ni mali yangu sitaki kushare na mtu.
Wakati kila mtaa...
Kila mtu anataka kuwa katika upendo, lakini si kila mtu yuko tayari kujitolea kweli.
Hapa kuna njia rahisi za kujaribu ikiwa ni upendo wa kweli:
Mtihani wa Ukweli: Mapenzi ya kweli ni ya...
Chama cha wakataa ndoa wengi wao wameangukia kwa hawa wadada wa humu ndani
Habari ndugu zangu ikiwa ni jumamosi ya mwisho ya mwaka 2023.
Nayasema haya kutokana na utafiti wangu wa kimnya kimnya...
Kuna dhana imejengeka miongoni mwa jamii kuwa haifai kwa mwanaume kuoa mwanamke aliyekutana nae maeneo ya starehe kama vile Bar, klabu na kwingineko.
Watu wengi wamekuwa wakiwahusisha wanawake...
1. Sanaa ya kutongoza ni ngoma maridadi ya mvuto, haiba, na uhusiano wa kihisia.
2. Inapita zaidi ya mvuto wa kimwili, kuingia katika saikolojia ya tamaa na mwingiliano wa kibinadamu.
3...
Habari
Hivi taratibu za ndoa za bomani zikoje?
Je, faida au hasara za kufunga ndoa bomani ni zipi?
Utaratibu wa kufunga ndoa yenu bomani mnatakiwa muwe na barua ya serikali ya mtaa kwaajili ya...
Kwema Wakuu!
Najua Wanaume wengi suala la kuwa na Mwanamke mmoja NI kipengele. Hiyo siô tatizo.
Raha ya mchepuko úwe pisikali iliyonyooka, yàani Mtoto matata, kiuno thelasini, hipsi thelasini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.