Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na...
Habari.......!
Kama kichwa kinavosomeka hapo juu, naandika ujumbe huu nikiwa chumbani kwangu peke yangu, mimi binafsi ni introvert na najikubali sana na hii personality yangu but hadi sasa...
Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani.
Iwe ni bar, lounge...
My Take,
Jamani wanandoa si vizuri kunyima utamu wa tendo la ndoa :rolleyes::)
=======
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msavatavangu amelitaka Bunge kuanzisha sheria ya kuwashughulikia watu waliozaa...
Aisee wiki inaisha na mwezi unaisha, kwa huku Marekani hapa nilipo leo kuna mechi kubwa sana ya American Football, kwa hiyo ofisi nyingi zimefungwa saa sita mchana. Na kuanzia hapo ni wadau tu...
Ni kisa cha miaka 10 iliyopita lakini mhusika anapitia kipindi kigumu mpaka sasa
Ilifikia kipindi anashinda sana kanisani mpaka anaacha watoto nyumbani, hapiki analipa kanisa kipaumbele, kuchukua...
Msitumie mate wakati wa tendo la ndoa
"Sio salama kutumia mate kama kilainishi wakati wa tendo la ndoa kwa sababu kuna vijidudu ambavyo vipo katika mate, kwa hiyo vinatakiwa vikae huko huko...
Hapo vip!!
Mimi ni kijana rijali haswa ila baada ya kumchunguza kiumbe anayeitwa mwanamke kwa miaka mingi nimegundua sintoweza kuishi naye kwasababu kipindi cha nyumba nikiwa kwenye mahusiano...
NANI MWENYE MAPENZI KAMA YA BONNIE NA CLYDE?
Kuna msemo wa Kilatini unasema Hostis Publicus, ukiwa na maana ya adui wa watu (enemy of the people).
Aprili 1930, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya...
Tuishi nao kwa akili, haya maandiko sio mm. Mwanamke ameumbwa kupenda, sasa wewe ukienda na mambo yako ndugu utaishia na talaka. Wale hawataki shida yaan kama unajua una tatizo la afya ya akili...
WANAUME MNA NINI LAKINI ?
▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂▂
Nina umri wa miaka 24 Nina mtoto mmoja baba wa huyu mtoto wangu nilikuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka kama mitatu hivi.
Ni mwanaume ambaye nilimpenda...
kuna huyu dada ye mwenyewe ndo alijileta, baada ya muda kwenye mahusiano nikamwambia ukweli kwa nia njea ya kumsaidia kua mi naona yeye sio type yangu , kuliko kupoteza muda ni vema aangalie...
Unakuta mkeo ni mrembo na ni mtu mwema sana kwako hadi raia mtaani wanatamani wakupore lakini cha ajabu wewe mwenye Mke mwenyewe umeshamkinai mtoto wa watu kitambo. (Hapa ndipo shetani...
Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri.
Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki...
Adam hakuzaliwa bali aliumbwa.. Hii ni kwa mujibu wa misahafu ya baadhi ya dini.... Eva naye hakuzaliwa bali ilikuwa ni kama kitu leo hii tunaita cloning....
Lakini cha ajabu hakutokea kama...
Mimi ni kijana nina miaka 24 tafadhari nina shida.
Naomba unisaidie maana Nina mke na mtoto mmoja toka mke wangu amejifungua kiufupi Sina furaha na maisha kabisa maana baada ya kujifungua tu...
Wakuu heshima yenu,
Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote.
Kilichonileta...
Kugusa ni lugha ya kimya ya upendo" huangazia athari kubwa ya mguso wa kimwili katika kueleza hisia, mapenzi, na upendo bila hitaji la mawasiliano ya mdomo. Njia hii ya mawasiliano isiyo ya maneno...
PUNYETO -Hapa siongei sana 😂😂😂😂😂 mara moja moja usiwe kama kina drone yaani wenyewe kwa siku mara 7.
kuna watu now wanasumbuliwa sana na nguvu za kiume, Usahaulifu uliopindukia (ukungu kwenye...
Wanajamii naomba kuweka hii mada hapa ambayo maamuma alikuwa ameipost katika thread ya "The Remainder....) Nadhani inastahili kuwa thread mpya kwa heshma na taadhima naomba niiweke hapa kwa niaba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.