Habari hii imeripotiwa kwenye habari wikiend na UTV.
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana Edward Futakamba, mkazi wa Mpanda mkoani Katavi amejikuta akifanya sherehe ya harusi bila ya mwenza...
Mjinga mkubwa wewe, tatizo sio huyo mwanaume unayemwambia:
"Kaa mbali na mke/mpenzi/mwanamke wangu."
Tatizo ni mke, mpenzi au girlfriend wako amempa nafasi mwamba ya kuongea, kuwasiliana au...
Nipo zangu mlimani City kwenye manbo ya kushuti Content za youtube channel yangu
Tukiwa break mara wakaja wadada wawili buana mazungumzo yao yalikuwa hivi
Dada wa kwanza: my dia usipotoa kwa...
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na...
Nikiwa Sasa nahitaji kuoa na shauku yangu kubwa ilikuwa nioe binti msabato mwenye bikira yake awe mke wangu.
Basi jitihada zilianza ku Act kama msabato.
Suti zikashonwa Tai zikanunuliwa na...
Nyie mnaolalamika wanawake wa sikuhizi wanapenda hela inaonesha hamjakaa na bibi zenu wakawaambia maisha yalivokuwa kipindi hicho miaka ya 1940, 50, na miaka ya zamani mingine.
Mwanamke alikua...
Ndugu zangu habari..
Ni mara kadhaa sasa mke wangu ananiambia sina utu ila nikimuuliza kwanini ananiambia hivyo hatoimajibu kabisa.
Ndugu zangu kama mnajua ni kwanini naambiwa hivi au mlio wahi...
Nimekuja kugundua mabinti wengi ambao wanakutana na ugumu wa kuolewa, inafika hatua wanatamani tu walau kupata mtoto.
Mabinti kumbe uwa mnatamani sana kulea, kuna ka feelings flani huwa...
My Take:
Huu ndio Ubaya Ubwela wenyewe Sasa.😁😁😁👇👇
---
Katika hali isiyo ya kawaida katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Edward Futakamba Mkazi wa Kata ya Nsemulwa amewashangaza wengi baada...
Wakuu heshima kwenu.
Polen na hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku.
Niko kwenye hali fulani ya mkanganyiko kidogo. Nasema kidogo kwasababu ni kama niko njia panda japo kuna njia ambayo kwa...
MPELELEZE KABLA HUJAANZA NAYE MAHUSIANO ILA ASIJUE KAMA UNAMPELELEZA ✍️
Wajuvi husema ukiona siti haikaliwi usikuikurupikie bali peleleza kwa kina kwanini inakwepwa? Ukijua sababu ndio jipime...
Wakati mwingine wake zenu wanaondoka majumbani kwenu bila kuaga,hawasikii mnapo waambia na hawa watii kwasababu kuna majukumu muhimu sana hamyatimizi ipasavyo.
Huko walikotoka wanaume wenzetu...
Anaandika, Robert Heriel
Yaani ukitaka kugombana na Wanawake wengi, wewe waambie ukweli. Wanawake ni viumbe ambavyo havitaki Ukweli. Hii ni Kutokana na kuendesha na Hisia. Kikawaida Hisia...
Kuna njemba m'moja wa karibu kanitonya leo hii asubuhi ya kuwa anajipanga upya kurejesha majeshi..........kwa mzazi mwenzie ambaye ana karibu miaka 5 tangia ampige kibuti..................utetezi...
Wakuu..mimi ndugu yenu ninaombeni ushauri na msinichoke,muda huu ninavyoandika nikielezea hali inayonisibu sasa hivi na ni live sio kama naota.
Kwanza kabisa nitoe pongezi za dhati kwa...
Wakuu naomba ushauri.
Mimi ni mkazi wa Morogoro ninaishi kwenye nyumba yangu niliyotafuta pamoja na mke wangu. Baada ya wahitimu kumaliza chuo mwaka huu mke wangu aliniomba mdogo wake aje kuishi...
Habari wana Jukwaa,
Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa...
"Until you loose your job and run out of money, break down and suffer loss, you will never know the true character of the woman you are claiming she loves you.
Most women are fair weather women...
Nilianza kama memory card isiyokuwa na chochote, empty
nikiwa mtu na safi sijajitia unajisi na chochote.. ilikuwa hivi..
Naenda kiumri
~ Age 8 -
Nilipendwa na mdada tulikua tunasoma nae mimi...
Katika maisha yetu kama wanaume eneo la mahusiano na wanawake tunazo option mbili. Ya kwanza ni kumpenda mwanamke na ya pili ni kumuelewa mwanamke.
Katika hizi option mbili, huwezi zifanyia...