Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo.
Tazama picha za maharusi wao...
Jamani jamani jamani kuna watu ni wafukunyuzi hasa, na kimsingi huwa wanatuchora vilivyo na kwa sehemu kubwa wakiangalia baadhi ya viungo mwili vinavyoonekana na kulinganisha na visivyoonekana...
Shalom,
Acha ukweli usemwe na pia acha ushuhuda uwekwe bayana.
Binafsi kwa muda mrefu sana nimekuwa bahili hatari na nusu, ila uoto asili uliopo maeneo mbalimbali ya Tanzania umepindua meza ya...
Haya mambo kuingilia wanawake kinyume na maumbile kwa sasa yamekuwa ni fasheni lakini katika ulimwengu wa roho dhambi hii ni mbaya sana sababu utapofanya dhambi hii katika ulimwengu wa roho...
Habari!
Bila shaka Wana JF wote tumepata habari ya kusikitisha juu ya binti aliyeingiliwa kingono na wanaume watatu baada ya kuhisiwa kuwa ametoka na mume wa mtu (mwanajeshi).
Kwa muktadha ule...
Kwenye ndoa kuna changamoto nyingi sana ambapo sio kila changamoto inahitaji vikao vya nje ili kuzitatua, moja ya changamoto hizo ni baadhi ta wanawake kuwadharau waume zao.
Kama una mke unampa...
Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta.
Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela...
Jamani naombeni ushauri, kuna mwanamke nampenda sana nae ananipenda sana tuliahidiana kuoana., Sasa kuna changamoto imejitokeza tena kubwa sana kumbe kabla yangu, aliunganishiwaga mwanaume...
1. Hakikisha mpenzi wako hatilii shaka uaminifu wako. Kikwazo nambari moja kwa maisha ya mapenzi yenye afya ni mawazo ya ukafiri kuwa na wasiwasi na mpenzi wako
2. Maandalizi mazuri Kabla ya...
Bila shaka ni wazima mpaka mnasoma hapa.
Hiki kitu aisee ni cha ajabu ni kama kinajicontrol chenyewe kwa namna fulani ya ajabu sana.
Kipindi ambacho unahitaji mwenza wa kuanza naye safari ya...
Kwa mfumo ambao Mungu ameutengeneza huu ulimwengu, you don't chase for the things that you want, you attract them.
How do u attract them?
By positioning yourself accordingly.
All I want in...
Nimekuwa nikisoma na kufuatilia baadhi ya visa vya kweli katika vitabu na mitandao ya kijamii vinavyohusu mahusiano na ndoa kuvunjika na moja ya sababu zinazosababisha kutokea hayo ni Mahali pa...
Inatokea kwa jamii nyingi kuwa mtoto wa kiume kawaida au mara nyingi kwenye familia huwa na upendo mkubwa sana kwa mama yake kuliko kwa baba yake.
Yuko tayari kuomba ushauri au kumshirikisha...
Anagalia vizuri hii picha, kisha useme kama inawezekana kwa mwanaume kuvumilia hiyo hali. Kama rangi ndiyo hiyo, harufu je? Kama kwa nje Pako hivo kwa ndani je?
Hakuna haja ya kula ulojo, supu ya...
Nashindwa kuelewa hii hali maana nikimuona mwanamke hasa Hawa wa Rika langu awe amevaa vizuri au vibaya mawazo yanaelekea huko.Mpaka mwili unatetemeka na napata kizungungu na moyo kwenda mbio.
Wakuu...kuhusu ndoa Nathani sio kwa ajili yangu mimi nibakie single for life,imagine nina hasira to the maximum halafu mwanamke anaongea kama kasuku kunidharau mimi na kuushusha uanaume...
Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.
Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo...
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu.
Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
Lamine Yamal ni kijana mdogo tu wa miaka 17 sasa, ambaye tayari ameshajipatia umaarufu mkubwa kutokana na kipaji chake cha kusakata soka, ni mchezaji tegemeo Barcelona na pia juzi juzi tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.