Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hii imekaa kiwaki sana. Nimejaribu kuassume tokea majuzi, naona haiingii akilini kabisa. Mfano ulio hai, nina mke, Mama Chanja. Kusema kweli ninavyovipata kwa Mama Chanja sijawahi kuridhika...
3 Reactions
18 Replies
662 Views
Tuna dada yetu mmoja, mtoto wa shangazi ambaye ni mkubwa sana kuliko mimi na hata amewahi kunilea udogoni kwangu. Huyu dada kwa kweli alikuwa ni mzuri sana na mwenye mapozi safi sana ya...
4 Reactions
2 Replies
688 Views
Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua watu wengi waliingia kwenye ndoa bila kujuana vizuri kiundani. Sasa baada ya kuingia kwenye ndoa ndipo Mke/Mume anagundua mapungufu Mengi kwa mwenzi...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari za muda wadau. Kuna kitu nime note. Kama mwanaume usipopenda ndugu zako na kuwathamini pindi uwapo ndoani usidhani mkeo atawathamini. Ukiwatupa naye atawatupa akiwauwa kiheahiniwa tai...
7 Reactions
14 Replies
384 Views
Habari ya muda huu wakuu, Nina changamoto nazipitia. Changamoto zenyewe ni hizi kwanza nina nina mke na mto mmoja wa miaka 6 anasoma chekechea ada yake ni kubwa kidogo pili nina mchepuko ana...
2 Reactions
80 Replies
2K Views
Ilikua wkend moja, nimeamka asubuhi nikahisi kuchoka choka kutokana na mawazo pamoja na majukumu ya kila siku. Ikabidi nioge haraka haraka, na kuamua kwenda chimbo moja angalau nikapate supu ili...
8 Reactions
128 Replies
2K Views
kwenu jinsia ya kike, huwa mnajisikiaje mkiulizwa umri wenu?
3 Reactions
16 Replies
400 Views
Habarini Wadau, Hata kama kwenye mapenzi pana wivu: Huwa ninashangaa sana pale ambapo ninaona wanaume wenzangu wakilia lia na kupata stress au hata Blood Pressure kwasababu ya kuhisi au...
9 Reactions
95 Replies
12K Views
Kwema waheshimiwa. Kesho nategemea kwenda iringa j2 nitakuwa napumnzika and j3 nitakuwa job. Nategemea kuwepo hapo hadi ijumaa so bandugu hebu niambieni viwanja vizuri vya kutembelea. Lodge nzuri...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari Wana Jamvi, nahitaji msaada wenu naona kiza nimepotea kwenye msitu wenye giza na mbwa mwitu wakali. Mimi Ni Kijana Below 25 Years, nimefanikiwa Kukwepa Anasa Zote Lakin Nimejikuta...
29 Reactions
195 Replies
10K Views
Sijui kwa wengine hili limekaaje ila binafsi naona gari nalo ni kivutio kwa hawa dada zetu, kuna binti hapa mtaani enzi hizo sina gari aliniwekea ngumu ila mwaka jana nilivyomiliki gari yani...
8 Reactions
356 Replies
23K Views
Mpaka miaka ya hivi karibuni mambo ya uchumba yalikuwa hayawezi kufanyika bila ya kuwepo wazazi na familia zote mbili. Mitoko (dates) mingi na kualikana ilifanyika majumbani wakiwepo wanafamilia...
21 Reactions
118 Replies
12K Views
Ni kukaribisha laana na mikosi kwenye gari, bajaji au ofisi yako au ya mwenzako.. Acha kabisaa tabia hiyo chafu, ingawa wewe unaona tamu. Gari au bajaji yenyewe umeazima na hiyo ofisi umaajiriwa...
6 Reactions
80 Replies
2K Views
Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a...
18 Reactions
102 Replies
2K Views
Kwanza kabisa, naomba nitangulize shukrani kwa kupata nafasi hii ya kulitumia jukwaa hili kuanzisha mjadala huu. Nimeamua kuanzisha mjadala huu kama sehemu ya namna ya majadiliano ya wana jamii...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa). Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?
2 Reactions
35 Replies
640 Views
Kuna mahusiano mkizaa mtoto ndiyo mnaoana na Kuna mahusiano Mimba ikishaingia tu wanaachana Hapa ndiyo tunajifunza kuwa unaweza kuwa kwenye mahusiano ambayo huwezi jua yanahusiana na nini
8 Reactions
9 Replies
453 Views
habari wadau nilikuwa na utafiti binafsi wa mambo ya ndoa kwa ajili ya kukamilisha research thesis for academic reasons. nilifika Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke na kufanikiwa...
36 Reactions
81 Replies
5K Views
Safi wewe mwanaume wa huko nchini Indonesia kwani hata Mimi GENTAMYCINE huwa Nakerwa mno na maswali ya kikuda na ya kijinga kijinga kama hilo uliloulizwa na ukaamua kabisa kumdedisha mtu (Jirani...
-1 Reactions
11 Replies
729 Views
Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa. In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi. Huku...
4 Reactions
11 Replies
498 Views
Back
Top Bottom