Mahusiano ya kimapenzi kwa sasa kama huna pesa mwanamke atakutesa Sana Atakudharau nainawezekana akakuacha kabisa au kukawa na migogoro isiyo isha.(wanaume tutafuteni pesa)
Kama kuna mtu...
Mwanaume atavaa kiatu pea moja zaidi ya mwaka bila kununua kipya. Ila mkewe atabadilisha pea mpya kila mwezi na amani itakuwapo.
Mwanaume anaweza kwenda bar, au mgahawani na kula anachotaka ila...
Jamii sasa imekumbwa na kupungufu uwezo wa kufanya mapenzi.
Labda vizazi vyetu havina nguvu wala uwezo huwenda kutokana na sababu mbali mbali.
Mfano moja wanawake wawili Kati ya kumi ndo huweza...
Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna...
Mapenzi kitu cha ajabu sana, wataalamu wanasema hata ungeukuwa mzuri kama miss dunia, hata ungekuwa mzui wa pekee yako dunia nzima, ila kadri unavyozidi kuishi na mumeo ndivyo unavyozidi kuwa wa...
Kama wewe mgonjwa au umefiwa na mumeo sawa Ila Kama wewe ni mwanamke miaka 22 na ni under 40 sio mgonjwa na hujafiwa na mmeo huwezi kuwa single.
Tunadanganyana jamani hakuna mwanamke ambaye yupo...
wana ndoa, tendo la ndoa linataka utulivu na sio papara kwamba mkifika kitandani ni vuuuup,kuvuana nguo bila matayarisho na mnaanza kuingiliana,mnaharibu ndoa zenu. Hebu fanyeni hivi:
1...
Wakuu kwema.
Ni jpil njema sana na ya neema kubwa.
Mambo haya yamenitokea na kuniumiza sana.
1. Niligombanishwa na baba yangu mpaka leo hatuelewan na alisema alishani delete mbaya zaidi walioleta...
Natoa wito na onyo kwa wanaume wezangu, tusipelekeshwe na hisia, nyege na ujinga tusikubali na usikubali mwanao akae na mama wa kambo eti kisa tu wewe umempenda huyo mwanamke, utamponza mwanao...
Nilikuwa kwenye mahusiano karibia miaka miwili mwanaume hataki nifike anapoishi mwaka huu nimelazimisha kwenda kwake anapoishi amenitukana sana na kunifukuza na panga pamoja rungu.
Nilijipa muda...
Naomben ushauri nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa. Ni mtu wa Kondoa ni mrembo sana...
Habari za Sabato Mkûu!
Ni Jambo la kawaida Kabisa kusikia Watu hasa Wanawake Wakitumia kauli za namna hii katika mazîngira tofautitofauti Kwa mfano wakichambana, kusutana au Wakati wakisikia...
Ilianza kama utani lakini sikujua kama itatokea siku nita fall in love na wewe,wala sikuwahi kuwaza kwamba utakuja kuziteka hisia zangu
Wakati mwingine huwa napotezea lkn ukweli unabaki pale pale...
Habari zenu wana jukwaa.
Leo tuone wengi wetu wanapendelea nini inapokuja suala la kupelekana katika ulimwengu wa mahaba.
Nyimbo mbali mbali za slow jams zimekuwa kivutio kikubwa sana kama...
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
Kwanini wanawake au wasichana wanao paka rangi au kusuka katani zenye rangi rangi kichwani wengi wao kichwani(bongo) wanakuwa na uelewa mdogo sana wa mambo haswa ya msingi katika maisha tofauti na...
Huyu kaka ni jirani yangu, wakati namaliza chuo ndiyo walihamia hapa karibu na kwetu wakiwa na nyumba kubwa kuliko sisi. Mwanzo mke wake alikuwa ni rafiki yangu na katika kuongea niligundua kuwa...
Wakuu Habari za weekend.
Hivi unakuta Baba na mama walizaa ila kila mmoja akaenda na ndoa yake.
Sasa kijana anataka kuoa, na yeye hajaishi kwa Mama yake wala kwa Baba yake. Kaishi na shangazi...
ladies and gentlemen,
sijatangaza uanze kuchungulia kidevu au kichwa cha huyo kijana mwenzako hapo jirani, kama ana mvi ama la, halafu kisha uanze kumtathimini kana kwamba ni mpiga nyeto; hapana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.