TALAKA AU KUACHANA KUNAWAATHIRI ZAIDI WATOTO.
Sehemu Ya 1
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto nyingi sana katika ndoa na mahusiano hali inayopelekea ndoa nyingi na mahusiano mengi...
Ni rafiki yangu anafanya biashara zake mikoa fulani alikuwa na mpenzi wake wakaachana mazoea yalipoanza na mdogo wa ex- wake alikua ananiomba ushauri sana anamkataeje dogo maana dogo alikua...
Kama unataka drama za ajabu ajabu na mitafaruko isiyoweza kuepukika basi date mwanaume ambae hanywi kilevi chochote au havuti. Utaona dunia chungu.
Wanajikutaga wajuaji alaf wengi wao ni...
Hello JF,
Wanaume kwanini mnakuwa hamjiamini ukiwa kwenye mahusiano Na mwanamke au ukioa mke aliyekuzidi kipato ingawa unakuta anakuheshim vizurii.
inferiority inampelekea mpaka mwanaume kuanza...
Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha...
Nilipata mwaliko wa kwenda huko mkoani kwenye tukio la rafiki yangu mmoja, nikaona si vibaya nikaongozana na bibie.
Bibie akanipa bajeti yake kuanzia mavazi pamoja na vitu vidogo vidogo, ikabidi...
Nmekuwa nikishuhudia baadhi ya watu wenye visa kama hivi:
Unakuta mtu ana maindisha misosi, anafunga friji na funguo ili tu watu wasile matunda au maziwa ambayo ni ya familia ambayo hata hajui bei...
Habari JF hii ndio Inaitwa VITA Ya Kiroho katika Ulimwengu Wa Mapenzi
Twende moja Kwa moja Kwenye mada
IJUE VITA YA KIROHO YA MAPENZI.
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako...
Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe.
Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
Habari ndugu zangu.
Miaka miwili iliyo pita nilitongoza Binti mmoja mitaa ya home akanichomolea nje.sikukata tamaa mapema nikamrudia kipindi Cha pili majibu alio nipa ni kama hapo juu kichwa...
Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu.
Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo.
Mjanja...
Salaam kwenu nyote.
Ninaomba ushauri wenu kwenu Kaka zangu na Dada zangu. Mimi ni binti.
Nimekutana na changamoto katika mahusiano yangu. Kisa ni hiki.
Nilikuwa katika mahusiano na kijana mmoja...
Miaka mitatu iliyopita nilioa mwanamke kutoka familia ambayo alikuwa na wazazi wote, kwa kweli ndoa ilikuwa pasua kichwa, mwanamke akajaza vitimbi
Siku moja nikamwambia mjomba wangu kuhusu hali...
Niliamini huyu ndio wife material wangu bana
Basi yule mtoto akanionesha ishara zote za kunihitaji si nikajifanya nice guy eti sitaki nimuumize mtoto wa watu nimuache tu aende...
Unakua mchoyo wa penzi, halafu matokeo yake ukifika nyumbani unaishia kupiga punyeto,huku ukijutia kupoteza fursa uloikataa bila sababu ya msingi, baada ya kuombwa penzi na mtu wa maana sana.
Na...
Habari za kazi wanajamvi! Ninawasalimu kwa jina la JF....!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, namshukuru Mola nimejaliwa mke mzuri na mtoto mmoja. Pia Mola amenijalia kazi nzuri ambayo...
Wana jamvi salaam,
Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala), siku nyingine...
Kuna mwana, alizifuma text za mke wake zilizoonesha dhahiri shahiri ametoka kuliwa dodo siku za karibuni nyumba ya wageni, mwana kaomba kila mtu ushauri wengi walimpa ushauri kuwa asamehe walee...
Katika hali isiyo ya kawaida katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, Edward Futakamba Mkazi wa Kata ya Nsemulwa amewashangaza wengi baada ya kufanya sherehe ya harusi licha ya Bibi harusi kugoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.