MWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Binti yàngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa...
Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa...
just curious, habari zenu wadau!
nimejiuliza sana hili suala la muda mrefu! nimeona sasa ni bora nililete hapa tujadiliane!
imekuwa kama kasumba hivi kwa wanaume kulilia wanawake wenye bikra...
Jamani wenzangu tuliomo kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 njooni tupongezane ndoa sio mchezo wa Simba na Yanga ndoa inahitaji mental maturity and stable income, hususani ukiamua kua na wake wawili...
Ushawahi kujiuliza kwa nini wanaume waliofanikiwa wanaoa la Saba B? Au kwa nini kinamama wengi wenye kazi zao na pesa nyingi hawajaolewa?
Zama zimebadilika, zamani wanaume walifanya shughuli zote...
Hawa wanawake sijui wana shida gani!? Wakiwa hawajaolewa wanahangaika kwa manabii na waganga ili wapate ndoa. Ila wakishaolewa kutwa kuhangaika kurukaruka kutaka kugawa utamu wa ndoa kwa sisi...
Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv:
1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa
2.Robot hana...
Au nasema uongo?
Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda...
Assalam Aleykum ndugu zangu waislam na wakristo.
Kwa asili mimi ni mtu niliye huru zaidi kutoa hisia zangu kwa maandishi kuliko niwapo ana kwa ana na watu.
Leo niko na hisia za furaha sana na...
Habarini za jioni jamani nimewakumbuka wanajukwaa!! kama kichwa kinavyojieleza ushauri uzingatiwe kwa maendeleo ya taifa
NB; Nimeona nisipite bure kwani nimewakumbuka familia
I'll never forget such kind of moment in my life. Ile wamepika matoke wakayachanganya na maharage, plus matumbo ya ng'ombe, karanga za kusiginwa plus karanga za kutafunwa, humo humo mfuru, kha...
Simulizi hii inaletwa kwako kwa hisani ya binti wa kiroho wa pastor Anni Kaleb.
Shuka nayo kama binti anavyomsimulia mamaye wa kiroho......
Pastor Anni acha Leo nikupe story ya Ndoa yangu...
Kabla ya mwanaume kumtongoza mwanamke huwa anaangalia hadhi (social status). Hadhi ya mwanamke inajengwa na vitu vifuatavyo:-elimu, fedha, cheo na uzuri wake.
Hadhi ndiyo Kinga inayochuja na...
Habari za wakati huu!
Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya...
Kuna baadhi ya watu wameamua kutokuwa na watoto na wana sababu zao za msingi,
Sababu zao,
Hawataki kujipa kazi ya kulea kwasababu kulea ni kazi kama kazi nyengine uzijuazo.
Hawataki matatizo...
Mtu mnakaa miaka mpaka sita mara miezi saba!!.. kwanini..?
hamuoni kama mnapoteza muda,mnachunguzana nini kwani kuna mtu ametokea sayari tofauti na hii..? au umeambiwa unaoana na alien...
Ningependa tushare experience hususani ya malezi ya mtoto chini ya miaka sita ukiwa kama baba yaani full responsibilities kuhakikisha mtoto anapata huduma zote za msingi.
Binafsi Nina mpango wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.