Habarini wanajukwaa
Leo nimeamka na roho ya huruma kuwahurumia wanaume wenzangu wanaoteswa na wanawake hivyo nikaona ni share vitips viwili vitatu vya kuwafanya waenjoy mapenz kama mimi maana...
Niende moja kwa moja kwenye mada kengefu
Najua na nataka wote tukubaliane kwamba tuvae condom kwa usalama wetu na wale tunaowajali,
lakini kuna nyakatai, katika harakati zetu ovu za ngono...
Na ni nani aliyewadanganya Waswahili kuwa ili uwe Mshauri mzuri wa Jambo fulani basi ni lazima uwe una Uzoefu nalo kwa Wewe mwenyewe kukupata?
Tanzania mpaka sasa ( japo wapo wanaojitahidi ) ila...
Napitia kipindi kigumu ndugu zanguni katika kipindi hiki kigumu cha wanaume wazee wa vilainishi Daslamu. Mtaani naanza kuishi kwa mashaka sana
Hivi karibuni imeibuka hali ya kuzubaa ambayo...
Hii ni story ya kweli ya ndoa yangu iliyodumu kwa miaka Saba (7)....lengo la kuandika bandiko hili ni Kwa wadau ambao wanataka kufunga ndoa au kuingia katik Maisha ya ndoa..wajifunze kitu Fulani...
Sikuzote kumbuka
Jipende wewe
Watoto
Mke
It should always be in this order
Watoto wako wanaweza kukua bila kuthamini sacrifices you made for them kwa sababu mama yao aliongea uongo dhidi yako...
Siku chache nilipost natafuta mtu wa kunizalia. Uzi wenyewe huu: Natafuta mwanamke wa kunizalia
Basi baada ya kuona watu wengi wanaokuja wako kimaslahi nikaamua nirudi kwene list ya ma ex zangu...
mathalani,
kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa,
mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa...
Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.
Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.
Tuishi nao kwa...
I remember in 2010 I met English woman called Patricia. She came in my town as part of group of students came to volunteer in a certain organization which deals with children living in vulnerable...
Kwema wakuu,
Kwanza Asante Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kupata kazi.
Pia ambayo bado hajapata usikate tamaa endelea kupambana sana na kumuomba Mungu.
Ipo hivi hapa nina kama miezi mitatu tu...
"Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo...
Ndivyo unavyoweza kuweka baya kuwa sisi Wanaume amabao tuko vizuri kwenye angle ya kupeleka moto, kasoro yetu kubwa hatuko romantic na mahusiano yetu mbali na kigezo cha pesa huwa hayadumu...
Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno...
TANBIHI: Andiko hili ni kwa ajili ya watu wanaotaka wenzi kwa ajili ya kuishi hivyo kama lengo lako ni kula na kuacha huna uhusika wako hapa.
Mvuto wa nje ni sehemu muhimu sana kwenye mahusiano...
Ndugu wanajf, naomba tupeane ujuzi, Kuna binti Moja nimetokea kumpenda, nimemwambia kuwa namuelewa nae akakubali ila shida ninapomwambia swala la kummega ananipa kalenda daily.
Naomba munipe...
Angalau kila ofisini rasmi sehemu za mijini huwa na wafanya usafi mara nyingi huvaa uniform/sare maalumu hawa ndo kimbilio la madomo zege walio wengi humo.
Yaani ukimtaka tu unapanga nae ama...
Kama mwanamke hujamlipia mahari, kwao hawakujui ama mnajuana juu juu, hujakabidhiwa uishi nae, n.k. hasira za kulipiza kisasi unazotoa wapi kwa mali isiyo yako ???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.