Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo wangu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadani ni sawa lakini nahisi kuna mambo yanaweza...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Siku za nyuma niliwahi kuleta uzi juu ya rafiki yangu ambaye tuna-share baadhi ya idea kuhusu kazi na maisha, nilimuelezea vya kutosha kuwa yeye na nyapu ni sawa na fisi na mifupa. Hata apite wa...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Kwema Wakuu! Kuna namna mbili za kutokuwa interested na Ndoa. Mosi, kutowaelewa na kutowajua kabisa wanawake. Pili, kuwaelewa na kuwajua sana wanawake. Hiyo ya pili ndio zaidi. Watu wengi...
33 Reactions
191 Replies
4K Views
My wife is a CEO, she always hates me for being lazy and wants to divorce me. But she doesn't know that her success is bestowed by me. “Dustin, here is the divorce agreement prepared by Ms...
29 Reactions
249 Replies
67K Views
Habari za wakati huu, watu wangu wa nguvu hapa jukwaani, Jukwaa pendwa sana la MMU. Niwape pole ndugu na jamaa ambao siku yao imewamendea vibaya kwa namna moja au nyingine. Acha niende kwenye...
4 Reactions
176 Replies
13K Views
Habarini, Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe...
13 Reactions
117 Replies
6K Views
EPISODE 1. Nakumbuka zamani enzi nasoma secondary, home kila akiletwa house girl mpya lazima nimnyatie nimle kwa gharama yeyote ile. Sijuwi sababu ya domo zege au ni nini? Ilikuwa sipitwi nipo...
227 Reactions
625 Replies
152K Views
Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu...
66 Reactions
274 Replies
29K Views
Habari wana jf! Je ni wakati gani mzuri wa kutafuta mwanamke wa maisha yake kwa mwanaume? 1)je ni wakati ambao mwanaume ana maisha magumu ,hana Ajira,yani kipindi ambacho mwanaume anapambana na...
36 Reactions
201 Replies
25K Views
Nawasilisha mada, Wanandoa wengi hudhani kwamba wakati mwingine mume au mke anayeishi naye bado si chaguo lake. Utakuta mtu anapofunga ndoa anasema kama atazingua tunaachana tu. Nadhani hii...
6 Reactions
141 Replies
13K Views
Man kill his girlfriend because she refused to marry him after he sponsored her in the university for 5years. Girls don't eat what you can not payback. Don't say Yes with your mouth But Say Yes...
8 Reactions
137 Replies
12K Views
Hi members, Leo nitajaribu kueleza na kufafanua namna ya kuishi na mwanamke katika ndoa bila mzozo na mikwaruzo. Hii ni kutoka na experience yangu binafsi katika ndoa pamoja na utafiti wangu...
84 Reactions
332 Replies
93K Views
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake...
35 Reactions
366 Replies
34K Views
Mimi nauliza tu, Hivi Tanzania kuna sehemu Ke au Me anaweza kuchangia mbegu au yai ili kupata mtoto bila wazazi kukutan kimwili?
0 Reactions
3 Replies
348 Views
Chunga na akikisha kwamba unazijuwa lugha 10 za demu za kimapenzi katika siku za mwanzo, kwa faida na tahadhali yako. 1. Ukiona hajambi haina maana hana kijambio au shuzi. Maana yake: "subiri...
0 Reactions
19 Replies
9K Views
Shalom, Kuna vitu vimetamalaki na jamii inaona kawaida. 1. Sauti za wanaume hasa katika uongozi, maelekezo, makatazo na maonyo zimekuwa ndogo kuliko maamuzi ya wanawake. 2. Chachu ya point...
3 Reactions
4 Replies
283 Views
Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba. Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano. Siku ya kwanza nakutana naye...
13 Reactions
79 Replies
6K Views
Kwema Wakuu! Weka akilini, mwanaume hujaumbwa kuchekacheka, ku-relax. Wanasema wanaume tumeumbwa Mateso na kuhangaika(mwimbaji Fulani aliimba). Wanawake hawatakuchekea wala kukuonea huruma...
42 Reactions
169 Replies
10K Views
Signed out forever
80 Reactions
267 Replies
5K Views
Back
Top Bottom