Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! Eti wanawake (mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu (Mbeya, Njombe and Iringa) ndiyo wabaya kwa...
6 Reactions
365 Replies
89K Views
Nimeikopi mahala.tafadhali ewe mwanaume.jifunze kitu. TUNZA UUME UHESHIMIKE Uume imara ni heshima kwa mwanume na furaha ya mwanamke, bila uume huwi mwanaume. Uume ndio kiungo muhimu katika...
7 Reactions
40 Replies
12K Views
Wadau nawaalika katika mjadala, washiriki wakuu naomba wawe Smile, Mayasa Heaven on earth, Natalia na Mrembo by Nature! Bila kujaliwanapoishi..nadhani kila mtuanajua juu ya kufanikiwa kwawadada...
11 Reactions
275 Replies
14K Views
Ni kama masikhara ila jomba hakikisha unakuwa uko fit sana kwenye kimojawapo. Kama umeamua kuwa mtu wa kanisa au msikitini basi hakikisha unashikilia sana huko. Kwa wale wazee wa mambo ya kimila...
2 Reactions
39 Replies
1K Views
Hope mko poa! Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs Maswali mengine niulize ntakujibu
3 Reactions
69 Replies
1K Views
Inawezekana kila mwanaume anahitaji mapenzi kutoka kwa mwanamke katika uhusiano lakini mwanamke hupaswi kujidanganya kwamba mapenzi pekee yanatosha kwa mwanaume. Kuna sababu mbili ambazo wanawake...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
UNYANYASAJI WA KINGONO NA RUSHWA YA NGONO Kumekuwa na tabia isiyopendeza katika jamii hususani mahali pa kazi ambapo baadhi ya waajiri au mameneja wa waajiri wamekuwa na tabia ya kuwanyanyasa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
"Mimi na Jennifer sio na hatujawahi kuwa wapenzi, naweza kulala nae kitanda kimoja usiku mzima na tusifanye chochote tukaishia kupiga stori tu"- Othman Njaidi, "Patrick Kanumba", Mwigizaji wa...
9 Reactions
40 Replies
1K Views
Wakuu maisha yangu yote sijawai kujihusisha na mapenzi, nilikua napendwa sana na galz but nilikua sina time nao. Wakati nipo 6 niliingia kwenye mahusiano na dada m1 but nilimwacha bila sababu...
15 Reactions
215 Replies
26K Views
Hi Nikifikiri kuhusu mapenzi naona mimi nimeumbwa kupenda na kuumizwa ila sio kupendwa mda wote unachunwa mpaka akiba Vuta picha unakutaka na ex wako yupo na rafiki yake rafik yake anakupa...
17 Reactions
95 Replies
2K Views
Ndugu zangu Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake. Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
2 Reactions
8 Replies
678 Views
Iwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke...
33 Reactions
63 Replies
3K Views
Wapendwa natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo na kushauriana mambo mbalimbali . Mimi ni mwanamke wa miaka 33 ninayejielewa ni ivo tu [emoji28] maisha
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Habari wana MMU. Naomba nisimulie yaliyonipata siku ya jana Jumapili. Nina mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano hata miezi minne haijafika. Kiukweli nilipenda haswa mpaka muda huu, naye...
10 Reactions
143 Replies
10K Views
Huu mwezi ushakua mwezi wa shetani kwangu Leo ilikuwa uhakika mademu watatu walijaa kwenye kilengeo Nimeshapaka zangu viksi lotion nimejiboost uhakika Aisha msomali Irene komwe Judi mlaaniwe huko...
9 Reactions
29 Replies
855 Views
Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu...
37 Reactions
217 Replies
4K Views
Nimeona tupate uzoefu kidogo wa maisha ya ndoa ambao na mie nimeupitia.. 1. Historia ya ndoa kwao, anzia ngazi ya wazazi je wapo kwenye ndoa au wameachana, je ? kuna ndoa za mitara kwao , pia...
13 Reactions
80 Replies
2K Views
Ukitumia sana Tangawizi, kitunguu swaumu, maboga, Karanga, matunda kama ndizi, avocado, tango na tikiti unaweza kufikia haya mafanikio Kazi kwenu
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa. Moja ya sababu inaweza kuwa ni 😍njia ya kujisikia vizuri...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Back
Top Bottom