Wakuu nisaidieni mawazo kidogo,
Nina jamaa yangu hivi majuzi kalazimika kurudisha pesa za michango ya harusi yake baada ya mwenza wake kugoma kufunga ndoa. Ishu iko hivi jamaa anafanya kazi...
Wasalaam? Hivi mtu ukitoa mahari unapangiwa na siku/tarehe ya kuoa au?
Maana nataka nilasimishe nitoe mahari nimchukue tuanze kuishi pamoja kuhusu ndoa nimepanga nitafunga baadae kidogo uko...
Kabla ya kulalamika kwamba mke wako hakuheshimu, kwanza jiulize mwenyewe kama unaheshimika.
Heshima ipo kwa wanaostahili, si kwa wanaodai. Jiheshimu kwanza na yeye atakuheshimu. Huwezi kulala na...
Dah yaani hapa natoka kuachika Kwa sababu ambazo naziona sio za msingi kabisa, nimempa 100k akafanye ishu zake nyingine bila hata kuniomba.
Hata Asante hakusema, juzi ananiomba Tena shilling laki...
Kwa umri wangu huu (nimekula chumvi kiasi) nimeona na kujifunza mengi kuhusu mahusiano ya kimapenzi na ndoa. Nimeshuhudia vijana wengi waliokimbilia maisha ya ndoa wakipoteza muelekeo wa maisha...
Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa...
Wakuu natumai nyote hamjambo.
Kwanza kabisa nipende kusema jukwaa hili naliona kama familia, kiukweli najihsi huru kuweka my concerns hapa kuliko kuzungumza na mtu, ndio sababu nalileta hili...
Ndoa hizi zitatuua.
Jamani ipo hivi. Mimi ni mume mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani...
Hii tabia ya kuchepuka imekuwa kero sana. Kwanini usiombe talaka ukigundua uliyenaye hakutoshelezi kwenye 6 kwa 6 , badala yake unaendelea kuishi naye huku ukichepuka?
Wanaume wengi tunaumizwa...
Nahitaji mwanamke wa kuoa. Awe mcha Mungu umri kuanzia miaka 35 hadi 40 Mwenye bidii ya kufanya kazi na nidhamu ya Pesa. Mengine tuwasiliane inbox. Karibu
Kuna baadhi ya vitu ukikaa ukawaza unaona kabisa ni kama tunaforce kufanya jambo kwa wakati usio sahihi mfano mzuri ni watu kuamua kuanzisha familia kwenye chumba kimoja.
Ni maisha ya aibu...
Nimekuwa nikisoma visa mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu yaliyowakuta wanawake walioambiwa “Acha Kazi nitakutunza”.
Baada ya kuacha sasa wengi wao wameambulia mateso kutoka kwa wenza...
Wadada wanaigiza kuingia kwenye mahusiano ili kupata mahitaji yao ya msingi hasa yahusuyo fedha, huku mwanaume akiaminishwa kupendwa kweli, kumbe ni utapeli mtupu.
Na hii inakuja kujulikana pale...
Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi....
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema...
Wakati mwingine ni kweli wanakuwa na maneno ya kuudhi au kwa lugha nyingine unaweza kusema wana mdomo,
Kamwe huwezi kumbadilisha mwanamke tabia kwa kipigo, ni mtu mzima amelelewa kwao na wewe...
Kuna pisi moja niliisotea kwa muda sana.
Kuna siku niliikaribisha gheto ikaja ila ikaninyima mzigo kwa kisingizio cha kuwa period, tukapanga akipona tupelekeane moto.
Kabla hajapona nikagundua...
Hivi mwanamke ni kiumbe wa namna gani? Kumbe wanashawishika kirahisi.
Kuna binti Wa miaka 23 katolewa mahari na amesha tangaza na uchumba kabisa ila chakushangaza katoroka na mwanaume mwingine na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.