Kuna mwamba juzi kadai wanawake wa siku hizi hard ware safi ila software zero ni kweli.
Mtu hajapatikana hewani siku kadhaa ukimuuliza eti simu ilitumbukia chooni
Nguo nyingi za wanawake hazina...
Kwanza tujue upendo ni nini kwa mujibu ya Biblia Takatifu.
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni...
ANAKUPENDA WEWE AU ANAPENDA UONGO WAKO? SWALI MUHIMU KUJIULIZA 😊
Yawezekana yupo kwako kwa kuvutiwa na majigambo yako uliyojivika na kuonekana mtu mwingine ila siku ukirudi uhalisia unakuwa sio...
Kumbuka kuwa, pamoja na kwamba unaweza kuwa mzuri sana ila bado utakataliwa....hata maembe ni matamu sana ila sio watu wote wanapenda maembe...
Mananasi pia ni matamu sana lakini sio watu wote...
Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata.
Lakini...
Oyaa to everyone here, i have somehow got this time to speak with every single one of you. Some, will probably be sleeping. Some will be not able to read this for whatever reason but for the ones...
Mimi ni Baba wa watoto watatu, nimeoa ndoa yenye miaka 12 sasa. Kuna sehemu niko nafanya kazi mke wangu naye ni mfanyakazi na ni ngumu kuhama basi tunahisi tofauti.
Hapa ofisini kuna dada...
Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea...
Habari zenu watu wa mapenzi.
Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani.
Naishi mkoa tofauti na ambao familia...
Tarehe 15/8/2024 chama cha mapinduzi huko jijini Mwanza kimefanya jambo la aibu ,dhihaka na kejeli mbele ya wazalendo wa nchi hii kwa kuwachangisha masikini ili eti msaliti Lisu apate gari...
Uzi huu nimeuandaa baada ya kusoma post flani inatrend jukwaani muda huu kuna dada yetu anahisi mme wake anatumia ushirikina kujua mawasiliano yake ya watu anaoongea nao, Huenda ni kweli lakini...
ni muhimu sana kama wenza kuombeana mema kwa Mungu,
na kwa hakika Neema na Baraka za Mungu zitaandamana na kuambatana na kila moja wenu na kwa imani thabiti mtaweza kuyashinda majaribu mazito na...
Napenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media.
Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha...
Wakuu,
Hapo nyuma mke wangu alikua hajanizoea ye mwenyewe amekiri kwamba alikua ananiogopa. Kwa upande wangu ilikua burudan ananiheshimu naongea mara moja ananisikia.
Sasa miezi kadhaa naona...
Mimi naweza kufafanya kitu kibaya kabisa kwa majibu ya chooni kama haya.
Sina maneno mengi ila inasikitisha sana kwa hali ilivyo siku hizi hawa wanawake watatuuwa tukiwa bado vijana wadogo...
Kama unatarajia kuoa kijana,na mke anakuzid kipato;
(I) Hiyo ndoa haiwezi kudumu sana kama utamtegemea mwanamke
Ii) Hata kama mwanamke anayo kazi kubwa,make sure matumizi yake unagharamia...
1. Punguza Tamaa Zako Za Ngono Ukiendekeza Tabia Hii Itakupelekea kutembea Na Watu Mbalimbali. Hali Hiyo Siku Moja Itakupelekea kupata Magonjwa ya zinaa /Kwa Wewe Binti Mimba Na Hata UKIMWI. Akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.