Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika.. kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Huyu binti anafanya kazi ofisi moja hapa Dar Es Salaam si mbali sana na jiji. Nlionana naye huko maana ni jengo moja tuna share. Basi nikaomba urafiki kupitia kwa rafikiye ambaye alinipa namba ya...
88 Reactions
138 Replies
6K Views
Wakuu Bwana Yesu asifiwe! Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu. Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na...
36 Reactions
142 Replies
3K Views
UTANGULIZI MUHIMU: Kisa hiki ni cha kweli sio hadithi ya kusimuliwa wala kufikirika na nitakiandika kama ninvyokikumbuka. Kisa nitakiandika kwa ufupi na kukigawa iwe rahisi kusomeka. ANGALIZO...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Hata kabla sijatangaza kuwa naoa, nilikuwa na hofu kuhusu Ma X zangu wawili, nilijua kutokana na Ukaribu wa familia zetu lazima habari zingewafikia na lazima wangekuwepo siku ya Harusi yangu...
24 Reactions
49 Replies
7K Views
Ma-Single Mother/Single Father Duniani kuna watu wanaokadiriwa bilion 8+ Kwa idadi hiyo ni serious umeshindwa kumshawishi mmoja tu akupende? Aaaaaah alooo!
8 Reactions
37 Replies
661 Views
Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au? mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena? sasa mtapita wapi na mimi "eti, Tsup ma, how ya doin' baby send me your photo ma...
16 Reactions
200 Replies
4K Views
Nipo na Mubaba wangu Mubaba kweli kweli Tuko simba day hapa nimesalimu amri, kwa machine ya jana amenifunga goli kizembe sana nikamwambia sawa Mubaba wangu, kesho unanislimisha simba ila me...
6 Reactions
67 Replies
2K Views
Hivi ndivyo ilivyokuwa: Nilikutana na huyu dada na nikamtongoza kwa sababu niliona anafanya kazi katika duka la mzee fulani. Hapo awali, sikujua kama mzee huyo alikuwa mume wake, nilidhani labda...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Habarini za mchana wapwa? Kama mada inavojieleza. Ukiwa faragha na mwenzako baada ya kufanya mambo yenu huwa mnafanya nini ili kuwa wasafi? Mfano kwa mwanamke, baada ya bao la kwanza huwa...
11 Reactions
89 Replies
5K Views
MJUMBE HAUWAWI. Nimepitia comment kwenye hii post. Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii. Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni? Nikaendelea...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Nlikuwa najiulizaga saana kwanini huku kwetu Africa wanawake huwa ndio wanaishi miaka mirefu saana hadi kuwa vikongwe lakini wanaume zao huwa wanakufa huko mwanzoni mwanzoni tu. Kwanini watu...
10 Reactions
76 Replies
3K Views
. Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala...
35 Reactions
132 Replies
4K Views
Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo...
11 Reactions
20 Replies
803 Views
Moja ya matarajio yasiyo na uhalisia ktk maisha ya ndoa ni kuwaza kuwa "kwenye ndoa kuna Raha na furaha". Kamwe hili halipo. Huwa wanaume wanahangaika kutafuta wanawake wenye mjumuiko (package)...
55 Reactions
138 Replies
9K Views
Jamani hamjambo? Mimi Mimiamadiwenani, nilianza maisha yangu yangu ya punyeto rasmi nikiwa kidato cha sita. Hii ilikuwa ni kwa ushawishi wa rafiki zangu wa karibu, ukizingatia shule niliyosoma ni...
17 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwako baba mtoto, Samahani nimekuja huku maana najua unashinda humu kuliko kushinda nyumbani, nimeamua kuvuja kwenye pakacha lako iwe nafuu kwako kulibeba, baki salama. Nilikupenda sana mfano...
10 Reactions
272 Replies
27K Views
Well, in comes di ting them call di broken heart This blessed love will never part Yuh dun know it's from the start mi tell them seh a dutty, yeah! A Sean Paul and Sasha. Come sing for them, baby...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana MMU, Salaam. Sisi binaadamu kila mtu ana kitu chake apendacho ndani ya moyo wake, na kila akikiona hicho apendacho, anakuwa roho kwatu!. Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu...
11 Reactions
118 Replies
18K Views
Kila mwanaume angeweza kusoma hiki kitabu cha Esther Villar In her book "THE MANIPULATED MAN " Mwanamke jinsi anavo rubuni mwanaume tangu zamani na kuwabadili kua watumwa wao wa milele wanawake...
14 Reactions
67 Replies
2K Views
Back
Top Bottom