Unaweza kudhani ni jambo la mzaha au kuchekesha lakini ukweli ni kwamba tarehe 7 mwezi wa 8, 2024
Shemeji yenu ameondoka nyumbani na kuvunja mji kisa anasema amechoka na tabia yangu ya kukoroma...
Nini Maana ya Uchumba?
Uchumba ni kile kipindi cha Maandalizi ya kufungwa kwa ndoa. Maandalizi haya huhusisha utoaji wa mahari na uandaaji wa sherehe ya harusi (kama itakuwepo). Ikumbukwe kuwa...
Mko powa
Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita...
Wewe shangazi kwa pigo zako. Kila mtu atakung'ang'ania.
Sio kwa kuchukua moyo wangu na kuuteka hivi.
Uliponiroga karoga tena maana nainjoi umefanya mpaka nisahau kilichonileta hapa jijini...
Najua kuna watu watanipinga ila huu ndio ukweli. Muonekano wa mtu unaweza kumsaidoa kupata fursa au kukosa fursa fulani.
Kuna watu wengi nawajua wapo kwenye vitengo nyeti si kwa sababu wana uwezo...
Wakuu mko salama?
Declaration: Sitetei wala ku-support masuala ya ukatili kwa namna yoyote ile
Sasa twende kwenye mada husika, kuna jambo limenishangaza kiasi kwenye kesi hii inayoendelea...
Na sio tu mwanamke, bali sioni kabisa umuhimu wa kujihusisha kwenye suala zima linaloitwa ngono, iwe ya aina yoyote ile
Mwaka jana nilianza kama masihara hivi, nilikuwa kataa ndoa tena mwanachama...
Wana JF nisaidieni.
Mara nyingi nimesikia maneno haya GELFRENDI NA BOIFRENDI (girlfriend na boyfriend) katika mahusiano.
Najiuliza maswali haya,
- Hawa ni akina nani?
- Umuhimu wao ni nini?
Wakuu...
After ushauri wenu nimewasiliana na ex-mamsapu wangu,and i must say her response was encouraging...in simple terms,she was happy to hear from me,we talk for 3hours!!!.....yes,i...
What is love all about?
A bond of trust but a little doubt?
An enraged eye still a healing touch?
A broad smile yet a pain so much?
Is it a sunshine peeping out of cloud?
Or a drop of silence...
Using A Sex Education Video
--------------------------------------------------------------------------------
The use of a sex education video is a tremendous asset when it comes to...
Male Chef killed and cooked boyfriend - 10/20/2008
A chef has been found guilty of murdering his boyfriend in a frenzied knife attack before cooking pieces of his thigh and chewing them...
Simple Friends and Real Friends
Anyone can stand by you when you are right,
but a Friend will stand by you even when you are wrong.
A simple friend identifies himself when he calls.
A real...
Ndugu wapendwa mimi ndio mara yangu ya kwanza kuwa hapa. Nina jambo naombeni msaada.
Nimeolewa hivi karibuni, baada ya kumjoin my husband aliamua kunitambulisha kwa wanawake aliyodai ambao baadhi...
Mwanamke hung'aa kama mmea wakati mahitaji yake ya kimwili yanatimizwa na mwanamume halisi. Muunganisho huu humlisha, na kumruhusu kusitawi kwa uchangamfu na nishati inayoonyesha maelewano na...
Mimi elimu yangu sio kubwa niliishia std 7, nina miaka 19, nimepitia changamoto nyingi sana za maisha. Mama na baba walitengana mimi nikiwa darasa la pili, kwahiyo nimeishi na baba kijijini huko...
Wakuu Wasalaam,
Leo nimekuja tupeane uzoefu na ushauri.
Nina bwana mdogo naishi naye. Ana miaka 18 kwenda 19 ni wa kiume. Huyu alikuwa mtoto wa jirani yangu kijijini nilipokulia. Ule ujirani wa...
Mimi najuta kwanini nilioa mapema. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa...
Iko hivi mimi nina mke wangu, sasa anarudi kati ya siku hizi mbili toka huko Uarabuni, alikuwa anafanya kazi.
Sasa kilichonileta ni kwamba yeye anakuja na tumekuwa hatujaonana kwa miaka miwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.