Kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea?
Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni...
Habari za jioni wakuu wa baraza, nina swali kwenu, hasa wale wanaoishi na wenza wao au wapenzi. Mwanzoni, penzi likiwa jipya unaweza hata kufanya mapenzi mara mbili kwa siku au kila siku.
Ila...
kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini...
Nyinyi wajomba na mashangazi mliopo humu ndani naombeni mitizamo yenu kwenye hii ishu, mke akiwa anataka kufumua rasta zake zinazomuwasha utamfumua kama akikuomba?
Wanaume wenzangu wa Kikristo moja kati ya zawadi na utam ambao hutakiwa kuukosa hadi unaondoka Dunia hii ni kupata mapenzi ya wanawake wa kiislam wale watu ni balaa lingine linapokuja swala la...
Utajuaje mke au mpenzi wako amefika kileleni?
Asilimia kubwa ya wanawake huwa na tabia ya kujifanya wamefika kileleni kumbe hata njia ya kuelekea kileleni bado hawajaiona, mara nyingi huwa...
Huwa ina maana gani pale mwanamke anapolinganisha mkono wake na uume wakati wa faragha husuani baada ya tendo?
Hebu mje hapa wadadisi na wajuvi wa hivi vijimambo, tuliopo gizani ni wengi na...
Sishangai kwanini ukiachana na mwanamke, wenzake wote hawataki kukusikia. Mahusiano ya wanawake wengi ni suala la kikundi kama vikoba. Ukimtongoza anaenda kwenye kundi lao anauliza “Jamani eeee...
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.
Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya...
Habari wadau...
Kwa wale ambao waliomba Mungu awape mwenzi wa maisha...Mungu akawaonesha kupitia ndoto picha ya mwenzi wake iwe wameshakutana tayari au hawajakutana na wakafanikiwa kuoana...
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la akina baba walezi nikimaanisha mkeo anakubebea mimba kutoka kwa mchepuko wewe unalea.
Ukijaribu kufikiria utapata jibu wanawake siyo kosa lao ila ni...
Mathalani,
Umepata Rafiki au Mchumba kwenye miongoni mwa mitandao ya kijamii, kwa mfano ulipokea simu ya aliekosea namba au ulipiga simu kwa kukosea namba akapokea asie husika, then mpokea simu...
Kichwa cha habari chahusika. Mdau mwenzangu hivi ilitokeaje ukaamua kuoa mke asiyekuwa na elimu, kipato na anayetokea familia fukara?
Ulitumia Nini hasa kufikia uamuzi wako? Hekima? Busara...
Haiondoi uanaume, siku moja moja, wakati wa kulala, mke akukumbatie wewe, it feels so fantastically good.
Kuwa mwanaume sio kuwa ndo ni jiwe, get a hug some day and you will remember this thread...
Wadau nipeni ma mbinu hapa nilipoamia Kuna mtoto wa mwenye nyumba mmoja mkali kinoma cheupe Sana sasa kameanza kuniangalia angalia macho ya kunitamani.
Wakuu namtumia mbinu gani kukachakata.
Na...
Mara nyingi natumia ile kauli "mwanamke usipomuendesha wewe atakuendesha yeye" hivyo nimekuwa na utaratibu wangu wa kipekee ktk ndoa yangu. Sio udikteta wala si kwamba nafanya kitu sijui.
Ipo ivi...
Kuna mpenzi halafu kuna mpenzi wangu mimi, hivi wanaume naombeni mnisaidie huwa mna deal vipi na wanawake wenye kununa nuna bila haata sababu.
Wivu sawa ila minuno sasa imezidi, unaweza tu...
Kuna mtu toka umfahamu yupo na heka heka za mahusiano tu kuanzia maongezi mpaka vitendo ila KI UCHUMI hali yake mbaya
Yawezekana ukawa wewe pia 😊 Mawazo yanayotembea kichwani mwako kwa wingi...
Wakuu,
Ulishamtokea mtu lakini sometimes ukawa na wasiwasi sana?
Imenitokea mimi weekend moja hivi.
Huyu Dada wa kisukuma amezaliwa 2003. Muonekano wake na umri vinakinzana sana!
Ni binti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.