Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Picha hii inakusisitiza kwamba kuchagua Mke ni uamuzi wa kifedha wa maana sana kwa wanaume.. Picha ya kwanza ni Amber Heard akiwa analia, na maandishi yanayosema "$7 MILIONI MALIPO YA TALAKA."...
8 Reactions
16 Replies
912 Views
Kwema, Naona kama una demu umemuelewa achana na mambo ya kuanza kujenga urafiki nae maana atakusumbua baadae kwenye kumtongoza ataanza kukuzungusha na pia itakuw ngumu kumpotezea.
22 Reactions
83 Replies
3K Views
Nakuonya ewe kijana, kamwe usioe Mwanamke ambae kwao ni maskini na hana kazi yoyote lakini anaishi maisha ya kifahari na matanuzi. Wengi wao ni wauza Mbususu wa kimya kimya. MLIOAMUA KUOA...
4 Reactions
8 Replies
342 Views
Nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 10 sasa, na sasahivi nina ujauzito wa miezi 8. Mimi na mume wangu tuko vizuri. Kwa sababu niliambiwa nisisafiri, mama mkwe wangu amekuja kunihudumia uzazi. Si mtu...
18 Reactions
89 Replies
7K Views
Unakuwa mwanaume wa kuchakata mbususu na huna mpango wa kuoa wala nini principle yako ni ya FFF lakini katika kuzila mbususu kuna kuwa na wanawake wenye jina fulani yaani ukikutana nao wewe...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Mimi ni kijana bado natafuta kwa ajili ya familia yangu hivi karibuni nilihamishwa kazi na kwenda mkoa mwingine nikamuacha mke wangu nyumbani akiwa mjamzito. Kutokana na ukata wa maisha ili...
9 Reactions
100 Replies
3K Views
Eti, utaoa Mwanamke wa aina gani na hutooa Mwanamke yupi? Weka vigezo vyako hapo chini Mkuu.
3 Reactions
22 Replies
532 Views
✌️ Mwanaume unapomtongoza mwanamke usomi wako ujuaji wako weka pembeni. Sio wanawake wote tunapenda izo mbwembwe binafsi ukinijia uku unaniongelea english jua umekataliwa kweupeeee na nina...
21 Reactions
203 Replies
8K Views
Wakuu habari za muda na wakati kama huu. Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead...
50 Reactions
295 Replies
14K Views
HUWEZI LAZIMISHA MWANAMKE AKUHESHIMU, MWANAMKE ANAMHESHIMU MWANAUME ANAYEMPENDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi hudhani kúmpiga Mwanamke ndio humfanya Mwanamke awe mtiifu na...
30 Reactions
125 Replies
5K Views
Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?
22 Reactions
700 Replies
39K Views
Sehemu YA kwanza *(Uandishi wangu si mzuri sana) Jina langu ni Vintage1q. Nimezaliwa mwishoni mwa miaka YA themanini na kukulia ughaibuni kwa takribani miaka 12. Nimezaliwa katika familia YA hali...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Kuna watu wanapitiaaa mapitoo lo hata sisemi. Janaa nilikuta mada moja kanisanj wanaijadili nkawa hoii Kijana ana watoto wawili alizaa njee. Mwanamke alieoana nae ana mtoto mmoja nae alizaa nje...
4 Reactions
26 Replies
782 Views
Waungwana habari za mihangaiko ya hapa na pale na harakati za kujikinga na ugonjwa wa nyumonia! Mwaka 2000 nilianza kidato cha Kwanza shule moja ya Sekondari iliyo kuwa ina milikiwa na jumuiya ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Yaaan alieweka siku za Ijumaa na Alhamisi kazi wanayo kweli. Mabinti wanateseka sanaaaaa na haya marejesho jamani. Yaan hata imefika hizi siku wamamamna mabinti wanamka asbh wanakimbia tendo la...
3 Reactions
4 Replies
295 Views
Wana JamiiForums hope mko poa kabisa Naomba kuuliza hili maana linanitesa sana. Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nimemlipia mahari na nikamvalisha pete. Ila mimi baada ya kuona haeleweki...
3 Reactions
66 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja aliniambia, 'Ilinichukua miaka mingi kujua kwamba wanaume wanalia pia. Nilimchukulia mume wangu kama mtu wa ajabu. Namwona akiondoka nyumbani kila siku na kurudi akituletea riziki...
5 Reactions
12 Replies
676 Views
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke wa ki-Ethiopia, naomba kifahamishwa kitabia wapo vp?
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Baada ya kuona Mwamba mmoja aliyekuwa na Mapenzi ya dhati kabisa kwa Mkewe kumsaidia Figo yake moja alivyofanyiwa na Kugeukwa na huyo huyo Mumewe tena huku Akitukanwa na Kudharauliwa huku Mkewe...
2 Reactions
11 Replies
544 Views
Mwanamke ni kiumbe chenye kuvutia sana kwa asili ya uumbaji lakini ni kiumbe hatari kwa namna isiyoelezeka kwa urahisi, nachotaka kusema hapa ni kwamba mwanaume yeyote lazima uzingatie namna ya...
1 Reactions
4 Replies
586 Views
Back
Top Bottom