Huyu jirani yangu ni playboy, kila baada ya miezi mitatu alikuwa ana-renew wanawake, lakini kwa huyu aliyenaye kwa sasa, anavutia sana. Siku zote nimekuwa nikingoja kifurushi kiishe, ni mwezi wa...
Habari wakuu,
As the head above explains, Imekuwa kama inataka kuwa kawaida tu sasa kila nishindapo nyumbani kuna mke wa jirani yangu ikiwa atapika mchana na kujua kuwa nipo basi ni lazima...
Wakuu,
Mimi ni kijana wa makamo, on my early 30s, sina familia (mke & mtoto), vipaumbele vyangu kwenye maisha ni kujitoa kwenye dimbwi la umasikini uliokithiri kwenye familia zetu hizi za...
Ebu wababa tujishushe kwenye familia zetu ili kuwalinda watoto wetu na ulevi wa kupindukia nalo ni tatizo kwa wababa wengi kukesha bar, pamoja wengi wao ni kukosa amani kwa wake za.
Na nyie dada...
Habarini wakubwa natumai mu wazima.
Kwenye maisha yangu huwa najitahidi sana nisionekane muongo ila hapa ilinibidi nidanganye ili nipate ninachokihitaji.
Nikiwa na miaka 18 nilimpenda...
Kukichwa kutapambazuka..lakini kabla jua halijachomoza kiza huwa totoro...
Fear of the unknown...hofu bila sababu...
Fear the most of last kicks of a dying bull after butcher's sword has passed...
Aisee! Nimeaibika wakuu mke wangu amenifuma nikiwa nimelala kwenye chumba cha dada wa kazi nikiwa naked tu ila sasa wife nimemuambia mimi nilikuwa chumba dada wa kazi nikijipumzisha tu na dada wa...
Kila binadamu ni mbegu, ukizaa na mtu tegemea hao watoto wako watafanana tabia na muonekano sawa na uliyezaa naye hadi uwezo wa kiakili.. kabla haujafikiria kuchanganya damu na mtu hakikisha...
Leo nimekutana na hii makala mtandaoni, imenishtua na kunishangaza sana.
Mwanaume mmoja huko india ameamua kuacha kazi yake katika taasisi kubwa sana ya goldman sachs yenye mshahara mzuri, na...
Shalom,
Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo.
Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single...
Ndoa ni jambo jema hakua jambo zuri ambalo halihitaji akili sio kila mmoja anaweza ndoa ,kuna mataifa viongozi hupimwa kwa ndoa kama huwezi kuhadle ndoa utaweza kumuongoza nani ?.
Ndoa ni sanaa...
Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kuna mpango tumepanga kila siku nikiongea nae namkumbusha. Sasa jana nime mkumbusha , akanikasirikia kabisa anasema ",nimeshaona kuwa siaminiki wewe mtu...
Kuna sababu nyingi zinazoweza kumfanya mwanaume kuoa mwanamke asiyempeda. (Na kwa taarifa yako zipo ndoa nyingi za namna hiyo).
Sababu hizo ni mwanaume:-
1. Kumkosa mke wa ndoto yake.
2. Kuachwa...
NJIAPANDA: Mke wangu alileta mchepuko wake kwangu wiki mbili wakitafuta mtoto, sasa anakaribia kujifungua!
Sina kawaida ya kushika simu ya mke wangu kwani nilikuwa namuamini kiasi kwamba sijawahi...
Watu dar naomba kuwauliza ivi ex ni nani..?Ni mwanaume/Mwanamke ulielala nae au uliempenda au kuishi nae Kisha mkaachana ndio mnamuita ex..?
Ex wangu fulani Kwa kigezo kipi mpaka awe EX...
Mwanaume atapambana kwa kila njia, iwe vibarua, kazi ngumu, kukopa, ufisadi ilimradi tu aweze kumuhudumia mpenzi wake, iwe kwenye kumlisha, kumvisha, kulipa kodi, kusomesha, pamoja na gharama...
Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mfupi mweusi mnene kidogo wa wastani,.
Changamoto yangu ambayo ninahitaji msaada wenu ni kuwa,
Nina wapenzi wawili ambao wate kwa pamoja wanaonyesha kunipenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.