Kusema ukweli huyu mwanamke ninaye ishi nae nilimchukulia kwa dada yake na kuamua kuanza maisha na yeye.
Basi bhana ilitokea msiba nyumbani kwao ikabidi tuende wote, na baada ya msiba kuisha...
Based on my view point
UTANGULIZI
Huyu mdada niliwahi mjua before kwenye mkoa x ndani ya mwaka huu, tuliwasiliana kiasi huku nikiwa nagusa mada kwa juu juu za kuomba mahusiano. Mwaka huu bahati...
Habari zenu ladies and gentles, natumaini mko poa popote pale mlipo.
Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo.
Nina mpenzi wangu tumeanza...
Nyinyi watu mnahitaji kufanya amani na wazazi wenu kabla hawajafa. Kuweka chuki kwa uzembe wao na kutokuwepo katika maisha yako hakutakufaa chochote zaidi kuathiri wale walio karibu na wewe.
Ningependa kufahamu, je mahusiano ya rafiki wa mpenzi wako ni jinsi gani yanayoweza athiri mapenzi yako?
Maana imekuwa ni changamoto sana, asilimia kubwa ya maisha ya mpenzi wangu yuko na rafiki...
Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia.
Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa...
Kuna hii tabia mtu ana omba pesa .una mtumia kupitia kwa wakala afu hasemi kama kaipata wala hasemi Asante.
Yani ana kaa kimya kabsa kama amna kilichotokea na wakati yupo hewani
Binafsi ina ni...
Ndugu zangu..
Ukweli ni kwamba mwanaume aliumbwa kutawala na kumcolonize mwanamke na vitu vyote viijazavyo dunia.
Mwanaume hakuumbwa kuomba ruhusa bali aliumbwa kutoa taarifa ya kila...
Habari wanajamii naomba msaada wenu, miaka takribani mitano nyuma nilikuwa kwenye mahusiano ambayo yalipelekea kuwa mzazi wa mtoto mmoja wa kiume.
Kiuhalisia maisha hayakuwa mazuri sana ila...
Kuwa na mahusiano na Mwanamke ambaye anapatikana muda wowote pale anapohitajika ni kitu cha muhimu sana kwa sisi ambao bado tunapigania kombe na hatuna wake.
Kuna jirani yangu alikuwa ananisaidia...
Nimeijua couple hii nyuma kidogo ya Pendamic ya Corona. Juzi wakati nimerudi kwa huu Mtaa nilishangaa kuikuta iko vile vile na pale pale nilipoikuta kwa mara ya kwanza. Makazi yao yapo kwenye...
Baadhi ya sifa za mwanamke ambazo zinaweza kumfanya kuwa "wife material" ni pamoja na:
1. Uaminifu: Kuwa mwaminifu na kuaminika katika uhusiano.
2. Upendo na Huruma: Kuwa na uwezo wa kujali na...
Heri ya nane nane wakuu
Ebana,nimepokea kesi moja hapa mezani kwangu ikimhusu jamaa yangu flani hivi.
Kesi yenyewe iko hivi,jamaa ameoa hawa totoz wa mjini na kamzalisha two kids za kiume.umri wa...
Praise lord.....
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
Waefeso 5:25
FUNGU HILI LINA SEHEMU KUU MBILI
Sehemu ya kwanza ni mwanaume...
Nazungumzo na wewe ambae unatoka bafuni kupiga punyeto usirudie tena sawa?
Na wewe unaejiandaa kwenda kupiga punyeto bafuni acha hiyo ujinga bana..
Na nyie mliomaliza kusagana hapo, tafadhali...
1). Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima.
2). Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako. Itakurudia. Wewe ni mlinzi wa mumeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.