Miaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa...
Ni ukweli usiopingika mwanamke mzuri wa sura na umbile ni ndoto ya kila mwanaume,tena akiwa smart kichwani na elimu kwa mbali ndiyo kabisa.
1. Unajiamini kumtambulisha popote na kwa yeyote huku...
Haijalishi uko kikazi ama unaenda kusalimia familia, ndugu ,jamaa au marafikii.Nakujuza tu ukienda Lodge guest zozote kabla ya kulala sali.
Ndugu zile Lodge zina mambo mengi sana na kabla...
Iko hivi mimi niko na mdada kwenye mahusiano ni mdogo tu ako na 21 saivi.
Sasa kilichonileta ni kwamba huyu mdada kweli haniombi pesa na anakuja geto kwa wakati na tunafanya yetu vizuri sana...
Kwema wakuu
Mimi nina mwanamke ananipenda saana yaana sana mimi nakosa Amani kuwa nae kwa sababu kuu
2
Kwanza ni mirefu sana kanizidi mbali she almost 6.3 and I am 5.8
Na pia kwao ni maisha...
UKIZAA NA MUME WA MTU, JUKUMU LA KULEA MTOTO NI LAKO MWENYEWE!
Anaandika, Robert Heriel
Unajizima Data sio!
Ati ooh! Alinidanganya Hana MKE, ooh! Sikujua kama kaoa. Wanaume ni Umbwa Koko!
Kama...
Mama mkwe mwanao amekolea kwa kiwango ambacho sikutarajia. Hata mimi nimemwelewa sana tu japo nimeweka akiba ya baadae kabla sijafanya maamuzi ya kumpiga pingu za maisha.
Lakini sasa kunichunguza...
Nilikulia kwa bibi mzaa baba, na mama yangu sikuwahi kumuona hadi namaliza darasa la saba.Kwa bahati nzuri nilifanikiwa kujiunga na shule moja ya sekondari iliyopo mkoani mbeya wilaya ya mbozi...
(Nimeikopi huko wanakoomba ushauri ili tujifunze kitu)
Nilimdharau sana mume wangu na kumdhalilisha mbele za watu kumbe alikuwa anateseka kwa ajili yetu!
Jana nimelia sana, nimelia kiasi kwamba...
Kwa yaliyomkuta yule binti anayelia kuwa wanaume wote ni mbwa utamuonea huruma...
Nasikia mwamba alimpeleka lodge baada ya ile kazi binti usingizi ukampitia,kuamka jamaa kaishakimbia na simu na...
Ukutaka kuoa oa mwanamke mzuri anaekuvutia, tabia zinabadilika ila ukishaoa sura personal ndo basi tena.
Ukiona mwanamke mzuri anaevutia a.k.a pisi kali
1. Hutatumia gharama kumpendezesha...
Hatimae Mjanja M1 nimeacha tabia ya hovyo ya kuwasakama Dada zetu waliozalia nyumbani.
Nachukua muda huu kuwaomba radhi kwa maneno yote ya hovyo niliyowahi kuyasema huko nyuma, najua niliwaumiza...
MASKINI ATABAKI KUWA MASKINI TU KAMA ATAENDELEA KUWA NA MARAFIKI MASKINI 😔
Hii sio makala nzuri kwa maskini ambao wameridhika na hali hiyo hivyo kama umeridhika na umaskini basi acha kabisa...
Kuna watu hasa wanaume wamekuwa wakihangaika sana kutaka kujua au kuvifahamu hivi viumbe "wanawake".
Sasa hizi Ni baadhi ya tips kuvihusu hivyo viumbe japo Ni kwa uchache tu
NB: TUISHI NAVYO KWA...
Sehenu ya 1.
Kwa jina naitwa Lucia Bakande, ni binti wa baba msukuma na mama mnyarwanda, mtu anaponichimba kutaka kujua kabila huwa nashindwa nitaje ni kabila gani maana sijui kuongea kisukuma...
Habari ndugu zangu.
Katika moja na mbili acha waendelee kutudangia huku wakijifanya hawajui wanacho kitaka ili kuhalalisha umalaya wao.
Wanawake wote mkae mkijua mtadanga sana , mtahangaika sana...