Nilifanya makosa ya kutembea na mume wa mtu, mke wake alijua na tukatukanana sana, huyo mwanaume alinidanganya kuwa atamuacha mke wake lakini baada ya kukaa miaka 7 naye nikaona umri unaenda...
Mara nyingi uhusiano wa kimapenzi kwa watu wengi unafikia kikomo, kutokana na kutoelezana ukweli.
Haya mambo ya kuficha kama umeridhika katika kugegedana, ndio watu hutafuta majenereta ya...
1.
Wapendwa nijuzeni, huko ndani kuna nini?
Tangu zama nilidhani, huko ndiko utamuni,
ni punde nimebaini, si kutamu asilani,
Huko ndani kuna nini, wapendwa nijuzeni
2.
Kiumbe huyu makini, hakomi...
Huu msemo wa 'Tafuta hela ' naona wanawake umewarudia sasa hivi wanatafuta Sana HELA na Wanawahudumia sana wanaume.
Hakika karma is bitch
Moja ya hekima ya MTU mwenye akili ni kukaa kimya
WAKIKUKOSA WALIPOENDA KUKULINGANISHA USIKUBALI WARUDI TENA KWAKO.
Ukiona mtu karudi kwako tena usishangalie bali jiulize haya:
#Kwanini aliondoka?
#Kwanini karudi tena?
#Wewe si yule yule...
Yan Hongsen mwenye umri wa miaka 11 tu kutoka nchini China aliyepewa jina la utani "Rocket boy" amekuwa gumzo katika mitandao na vyombo vya habari duniani.
Hii ni kufuatia kuweza kutengeneza na...
Nina shost yangu ni mfanyabiashara mzuri tu wa nafaka na anaingiza faida nzuri kwa sasa.
Ana mtu wake ambaye alisimama bega kwa bega kuhakikisha anafika hapo alipo. Huyo mtu wake kipindi hicho...
Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone.
Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee.
Mwili wako sio dampo, upokee kila uchafu wa mwanaume.
Mwili wako sio Mali ya umma kila mwanaume akutumie...
Ukweli ndio huo. Wazazi wa familia nyingi wanahudumiwa na watoto wao wa kike.
Mbaya zaidi utakuta hao watoto wa kike wana kipato duni ukilinganisha na wa kiume.
Wa kiume hela zao ni za kulisha...
Pamoja na kuwa kuna wazee wa ovyo wengi ila bado kuna wazee wenye busara wengi pia.
Tuliwahi kupata msiba wa rafiki yetu ambaye alioa mke mrembo sana toka kaskazini,huyu mke alikuwa cha pombe na...
Jana ya siku ninayotaka kuielezea alikuja ndugu yangu kwa lengo la kushauriana afanye nini kujikwamua kiuchumi.Hapo ni baada ya kuachwa na mwanaume aliyekua akimtegemea kwa kila kitu.
Wakati...
Salaam
Leo nimehamasika kidogo na mambo ya kukwichi kwichi π π π
Katika kumi na nane za kula apple π kuna majority ya wanaume wana sex fantasy ya kusex na workers ambao ni she, (hii ni...
Zamu yangu ya kutesa imewasili. Binti flani hivi rangi ya chocolate, mwenye macho fulani hivi ya huruma, mtu wa kujishughulisha sana mara nyingi nalimuona katika hali ya u-busy, hakunipatia salamu...
Shalom,
Imeandaliwa na Chief Wadiz.a.k.a Chief Mapenzi.
Leo nimewakumbuka Maex zangu mademu kama wanne hivi Aisha, Mariam, Win, Esther na Esther na Elizabeth.
Jamani acheni maisha yaitwe...
Siku hizi hatuviziani tena njiani kama zamani,maana huko way back ilikuwa kipengele kweli,ukimtaka mrembo ni full misele kitaani kwao,,nakumbuka class mate wangu mmoja tulikuwa tunakaa nae kitaa...
Habarini wakuu,
Nimekuwa nikisense silent treatment from my mum nashindwa kuelewa nimekosea wapi.
Ila nimejitafakari nikaona tukiwa tunajadili mambo na story za hapa na pale ikatokea Kuna...
N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k.
Pisi kali β...
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza.
Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa.
Nimeweka...