Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

USITAFUTE MWANAMKE MZURI UKIWA KATIKA HALI HII. JINSI YA KUTAMBUA MWANAMKE ALIYEMBELE YAKO NI MZURI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usibabaishwe na mawigi, usichanganywe na makeup, usivurugwe...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama binti ambae ni mtulivu anavaa kwa staha na baibui masaa 24, binti mzuri chotara na ana mume mwenye pesa kanipa penzi Nimemuangalia kwanza mke wangu najua hata yeye hayupo salama nimekosa...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
What's up wakuu Mko bwax? Basi sawa(in chief engineer's voice) Kwenu wakuu mliofanikiwa kuoa ama kuolewa ama wenye experience na hizi issues Hivi ni muhimu kiasi hiko kwa mwanamke kufahamu...
11 Reactions
198 Replies
55K Views
Ni bora kumvumilia mpenzi wako huyohuyo aliyekukosea kuliko kuanza kuongeza idadi ya mliowahi kudate na hatimaye kuwa Malaya. Hivyo ni bora kuwa mvumilivu kuliko kuwa Malaya. Mbarikiwe!
4 Reactions
36 Replies
731 Views
Kama una urafiki na mwanaume au mwanamke tafadhali msipeane vitumbua na mihogo....Yaan mkipeana tu mkamwagiana bila malengo ya kuoana ....bas mmeshatengeneza uadui.Ndo maana mnashauriwa hata...
36 Reactions
287 Replies
11K Views
Habari! Wakuu, Ipo hivi, imetimia miaka 8 tangu ndugu yangu aolewe kama mnavyojua ndoa ni baraka lakini hii mmmh hapana... Mwaka flani hio familia ilikuja nyumbani kuomba kijana wao amuoe ndugu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii ni mara ya pili naibiwa pesa kwenye stendi hii ya singida mara ya kwanza niliibiwa laki tatu stendi hii ya singida aisee sasa naona watu wa singida mmenizoea sana aisee na mniibia kwa style...
22 Reactions
54 Replies
2K Views
Habari za leo wanaJamiiForums, leo nimeamua kufunguka na kutoa kisa changu cha kweli kilicho nitokea mwaka 2013, basi mambo yalikua hivi; Ilikuwa ni mwezi wa sita mwaka 2013, nikiwa nipo nyumbani...
6 Reactions
81 Replies
16K Views
Nimeona niongelee hili jambo, kwani linatrend sana, tatizo la ajira limekuwa kubwa sana, kiasi kwamba vijana wengi wameshindwa kuajiriwa au kujiajiri Kwa ukosefu wa mitaji. Nafurahi pia Kusema...
8 Reactions
20 Replies
840 Views
Boy child, sorry kwa andiko refu, sipendi kuandika sana ila ni muhimu usome hadi mwisho, jikaze usome hadi mwisho. Wengi huwa tunastaajabu jeuri/kiburi, dharau, kutokujali /na ukatili wa...
9 Reactions
14 Replies
937 Views
Hadi leo nakaribia floor namba tatu, sina mchumba, mpenzi, wala demu. Kutongoza imekuwa kazi ngumu sana kwangu. Ninaobahatisha kutongoza wananikataa. Eeh Mungu wangu nisaidia. Natamani nipate...
19 Reactions
208 Replies
5K Views
Umewahi kupendwaa nakupewa dedication yeyote??? https://youtu.be/MY4YJxn-9Og?si=lEUT2jyHrGZ01G7s https://youtu.be/PKOaA9A-Y3A?si=4WASSbFOtZWYOt6n https://youtu.be/4lGqKGsfhOQ?si=ECxRR6BgD64hThwo...
2 Reactions
3 Replies
249 Views
Wana Jf.. Nakumbuka miaka ya 2012-2016 nilikua na upepo mkali sana wa hela, yani kama ni hela nilichezea sana ingali bado kijana mdogo sana na mademu nilikua na wafungia vioo ni mimi mwenyewe...
23 Reactions
60 Replies
4K Views
Nina miaka 40 pia nimejaariwa watoto 2, shida ni kwamba siku hizi TUNDA special limenikinai kabisa kiasi naweza kaa hata miezi sitamani kabisa, Sasa sijui ndio umri umekwenda au kuna shida...
28 Reactions
301 Replies
9K Views
Habari wapendwa, Kuna wanawake wana bahati (nyota) za pesa jamani, kuna binti mmoja ninapokuwaga nina matatizo ya aina yoyote hasa ya kipesa humtafuta binti huyo kwa udi na uvumba nikutanapo nae...
5 Reactions
93 Replies
13K Views
USIOGOPE KUOA KWA SABABU YA GHARAMA ZA KUOA, HIZI NI NJIA RAHISI NIMEKUWEKEA HAPA, CHAGUA ITAKAYOKUFAA GHARAMA ZA KUOA NI HIZI (1) nauli ya kwenda ukweni na kurudi watu wazima wawili mfn 45000 x...
18 Reactions
75 Replies
11K Views
Wanaume hawanufaiki na ndoa!!! 1. Ana miaka 72. 2. Amestaafu kutoka katika huduma ya kazi. 3. Amejitolea maisha yake yote kuwalea watoto wake. 4. Amekataa starehe za maisha ili kugharamia ada...
16 Reactions
92 Replies
2K Views
Habari ya jumamosi wakuu... Hongereni na weekend, moja kwa moja napenda kuwaletea mrejesho wa kile nilichokiamua baada ya kuleta uzi wa kuomba ushauri ni kwa namna gani nimkabiri manzi wangu...
9 Reactions
76 Replies
2K Views
Vifuniko vya asali (chupi) kwa wanawake sio kwaajiri ya kujistiri tu sehemu zenu za siri bali pia zina mchango mkubwa sana katika kuamsha hisia za kungonoka kwa mwanaume. Kwa kulitambua hilo ndio...
10 Reactions
140 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…