Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari. Uliwezaje kuishi na mwanamke anayenuna kila wakati, Mwenye kinyongo, Mwenye kupenda pendant ugomvi bila sababu. Hali inayopelekea kulazimishana mapenzi.
5 Reactions
30 Replies
724 Views
Mwenzenu mimi ni mtu mzima kidogo maana kwenye 40 napeleza mitatu, kwenye mechi sina shida tangu nianze kuyajua mambo miaka ya 2001 nipo la tano huko. Hizi tatu bila kwa mechi za ugenini ni masaa...
4 Reactions
35 Replies
981 Views
A man can love you and not marry you. A man can have $ex with you for years without marrying you. But immediately he finds someone who brings stability in his life, he marries her. Men are...
8 Reactions
8 Replies
559 Views
Habari za jioni wana jukwaa... Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi. Wanaume hukasirika na...
10 Reactions
86 Replies
2K Views
Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na...
32 Reactions
126 Replies
23K Views
Bila ya wewe uyo mwanamke hatokufa, acha kujipa stress ili upate sifa za kijinga, eti responsible boyfriend, unapigwa mwanangu. Kama bajeti hairuhusu kumpa hicho anachokitaka lala salama kabisa...
48 Reactions
153 Replies
4K Views
Wakuu hii sauti inatosha au? Picha husika imeambatishwa.
10 Reactions
105 Replies
2K Views
Kama ilivyo destur ya jamii nyingi duniani ktk kuoana mwanaume kiumri inatakiwa amzidi mwanamke lkn hii sheria mm binafsi cjui imeandikwa katiba ipi wala kitabu gani ila wengi wao wanazingatia...
0 Reactions
72 Replies
21K Views
Habari kwenu, Dunia inavyozidi kwenda watu wanaona kama bikira haina thamani, wengine wanawashambulia walio nazo kwamba ni washamba.Mimi ninavyo amini ubikira wa mwanamke huashiria uthamani...
8 Reactions
33 Replies
12K Views
Shalom, 90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
"Money Penny buana, nadhani nimepata true love, Sikuwahi ku experience kitu cha namna hii, Juzi kwa mara ya kwanza nilikuwa kifuani kwa mpenzi wangu, tumelala after sex Nilipokuwa kifuani kwa...
12 Reactions
82 Replies
3K Views
Hii sio sawa. Wanawake wengi wana upungufu wa nguvu za kike, wengi K zao hazina afya tena kama inavyobidi kuwa. Zamani mwanamke ukimshika kiuno tu au upaja huyo anaanza kuona aibu na anabana...
5 Reactions
13 Replies
822 Views
Wakuu nataka nitoke na mtu kesho naomba kuelekezwa wapi nitapata best experience kwa hapa Mwanza,isiwe indoor sana.
3 Reactions
21 Replies
743 Views
Mwalimu ni mimi na AI from ChatGPT. Binadamu kufanya jambo fulani ni msukumo kutoka kwenye mwili wake au akili yake. Milango mitano ya fahamu pua macho masikio ngozi ulimi Milango hii ikiguswa...
2 Reactions
13 Replies
568 Views
Habarini za jioni waumini Mtaani kuna wale jamaa wanakopesha bidhaa hasa kwa wanawake au wake za watu, hawatumii nguvu kudai na wakiambiwa hela hakuna wanaelewa. Niliona mmoja akiombwa kusamehe...
2 Reactions
6 Replies
361 Views
Hawataki kuolewa na wanaume wasio na pesa nyingi, ila wanataka kaka zao wasio na pesa nyingi waoe.
3 Reactions
3 Replies
243 Views
Kati ya hayo, moja wapo yaweza kua ni jibu sahihi au hata zaidi. Kwasasa mke wangu akiniudh chochote, pressure inapanda, na vidonda vya tumbo vuaamka. Stress anazonipatia hata kwenye utafutaji...
13 Reactions
48 Replies
2K Views
Rehema Paulo (26) Mkazi wa kata ya Katente iliyopo wilaya ya Bukombe mkoani Geita amejeruhiwa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani na kukatwa viganja huku chanzo kikitajwa kuwa...
0 Reactions
3 Replies
461 Views
Katika jamii ya kisasa, dhana ya ndoa imebadilika kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na zamani. Watu wengi sasa wanajiuliza kama ndoa bado ina umuhimu kama ilivyokuwa hapo awali. Katika makala hii...
2 Reactions
8 Replies
571 Views
Hakuna ndoa isiyo na mitihani na mikwaruzano. Kinachovunja ndoa nyingi ni mke au mume kuwa kispika cha kueleza changamoto za mwenzi wake kwa ndugu na jamaa bila kujali wakati sahihi wa kufanya...
12 Reactions
16 Replies
785 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…